Nani anayemlipa Kubenea?

Nani anayemlipa Kubenea?

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

P-IMG-20221111-WA0000.jpg
 
View attachment 2412796
We umeathirika vipi na hiyo habari fanya yako ndugu, Kubenea ni mwandishi wa habari za uchunguzi anatimiza wajibu wake kama mwandishi, kama kuna mtu ameonewa au kudhalilishwa kwa namna moja au nyingine mahakama ipo huru.
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Kwa hiyo wewe umeona jinai ila serikali haijaona viongozi wake wanachafuliwa.
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Wao wamenyamaza wewe unajitia kimbelembele kunyamaza kuna maana kubwa ndugu acha chuki.
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Kwanini Hili gazeti lisijibu tuhuma za Majaliwa ili kumaliza utata ?
 
We unauliza, Mwanahabari naye anauliza, na sisi mnaotuuliza tunatakiwa kuwauliza nyie kwa sababu ndiyo taaluma yenu kama waandishi kwahiyo sisi hatujui.
 
Mtafuteni Sued Kubenea muulizeni hilo swali jibu analo mwenyewe.
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Duh...!.
Bonge la promo kwa Raia Mwema!. Mimi nilikuwa silisomi, sasa nitalisoma.
P
 
Kwanini Hili gazeti lisijibu tuhuma za Majaliwa ili kumaliza utata ?
Tumevizoea hivyo "vijarida" vya propaganda kwa watawala wa CCM.

Wao Kazi yao ni kuleta mapambio ya kusifu na kuabudu tuu.......

Sasa kama wao "kijarida" cha Mwanahabari, wameona kuna upotoshaji unaofanywa na gazeti hilo la Raia Neema, wajibu wao kama gazeti ni kukosoa pale wanapoona gazeti hilo lilipopotosha, na siyo kuleta bla bla🥺
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

Ni View attachment 2412796
Hili ni gazeti au karatasi kuu kuu ya kufungui chapati na maandazi? Hivi hii minyoo kumbe bado ipo? Kweli minyoo ni hatari maana imeishi tumboni mwa Kayafa mpaka kafa imehamia kwenye tumbo la chui jike.

Tangu lini kubenea kaanza miliki gazeti la raia mwema?
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Na wewe na hicho kigazeti uchwara cha mwanahabari nani anawalipa kutetea mafisadi na viongozi vimeo?
 
HABARI KUBWA KATIKA GAZETI LAKO PENDWA LA MWANAHABARI NI:-

Nani anayemlipa Kubenea ?

- Anatumia GAZETI lake la Raia Mwema kuchafua viongozi mbalimbali

-Anaonekana kuwa na mwendelezo wa kutengeneza taharuki kwa taarifa za uongo kwa viongozi

- Wadau wazishangaa Mamlaka husika kwa kushindwa kumchukulia hatua stahiki kwa kutumia kalamu yake ya uandishi vibaya.

View attachment 2412796
Kuna mtu very insider ambaye hamuwezi kuamini ndiye anayempa mchongo mzima.

Mtu huyo alikuwa anamsnitch Mkwere balaa. Sijui kama Muungwana alifanikiwa kumgundua.

Lakini taarifa anazotoa zina ukweli hakuna anayecjafuliwa bali wanaanikwa maovu yao orijinale
 
Nimesikia hapa kijiweni kijijini kwetu Nkotokwiana wanasema eti Rostam ndiye anaendesha kampeni dhidi ya mpendwa wetu Majaliwa, labda ndiye anamlipa Kubenea. Naona kuna haja ya kwenda Ngende ili kumlinda waziri wetu mkuu!
 
Back
Top Bottom