Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,144
- 128,789
Nimesema aliyekuwa anamlipa mwanzo enzi za Mwanahalisi, tunamjua na sasa hayupo, anayeuliwa hapa ni anayemlipa sasa kwenye Raia Mwema!.Una hakika hayupo?
P
Nimesema aliyekuwa anamlipa mwanzo enzi za Mwanahalisi, tunamjua na sasa hayupo, anayeuliwa hapa ni anayemlipa sasa kwenye Raia Mwema!.Una hakika hayupo?
Hiii ni kauli ya ajabu, kuna kipindi Musiba naye alikuwa anachafua watu kupitia magazeti yake na watu walipokuwa wanahoji kauli kama hizi zilikuja. Sasa yamemfika Musiba hawakuonekana. Kutetea jamii siyo mpaka mtu anufaike personally kama shujaa Majaliwa kwa kupewa au kuonyesha atafaidikaje.We umeathirika vipi na hiyo habari fanya yako ndugu, Kubenea ni mwandishi wa habari za uchunguzi anatimiza wajibu wake kama mwandishi, kama kuna mtu ameonewa au kudhalilishwa kwa namna moja au nyingine mahakama ipo huru.
Pengine ni punguani huyu jamaa maana hata hajaweka wazi viongozi wamechafuliwa kwa lipi?Wao wamenyamaza wewe unajitia kimbelembele kunyamaza kuna maana kubwa ndugu acha chuki.