Mleta hoja hii ndiye mnyama kabisa. Weye ulitaka mzazi amwache mwanaye aanguke?? Hayo ndo maisha bora kwa kiila mtz. Uwezo wa kukodisha p/up kumbebea mali zake alipokuwa anahama hana.
Maza mwenyewe ana watatu, yaani huyo kwenye torori anao wadogo zake wawili. Saa zimeenda na bila kutembea haraka watachelewa waendako. Ulitaka nini kifanyike?
Nasema sijauona unyama wowote hapo bali mawazo muruwa hayo. Mbona huulizi wale watoto wanao bembea kwa milango mpaka inakatika bawaba, nani alaumiwe, Fundi mlango? Baba mwenye nyumba au city kwa kuuza viwanja vya wazi?
Kila mtu atumie akili yake ya kuzaliwa kuwezesha mambo.