Nani anaweza kuufanya unyama huu

Nani anaweza kuufanya unyama huu

Cambodia, Vietnum, Vanuatu, Nauru, Solomon Island, Nepal...list goes

hizo nchi ulizotaja jazina vipilipili kama vyetu, i mentioned guyana, Haiti or suriname because there are pure black people out there na sio nchi za africa
 
Bora angemuweka ktk hilo sanduku la chips mama ni salama zaidi,lkn sio hapo alipomuweka.
 
mwanamke. kuna mmoja mtaani kwetu huwa anauza uji wa ulezi kwa kutembeza mitaani sasa humfunga mwanae kwa mtindo uo huo mbele ya tolori lake ambalo hubeba jiko LA mkaa pia pemben kidogo ya mwanae.
 
Kawaida sana tena sana sio kwa me/ke kama una baskeli shukuru maana ni wale wale
 
Back
Top Bottom