Kosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana.
Sio Africa karibia Dunia nzima kumbuka Jamal Kashogg.Kosa la slowslow ni kuwa bongo huku anaitukana serikali ya bongo. Hilo ni kosa la jinai kwenye shithole countries nyingi za Africa.
Anaadhibiwa na mfumo alioutengeneza mwenyewePolepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?
Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli.
TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana.
Sio kweli polepole hakuna document yoyote ile ambayo polepole amewahi release ya Jamuhuri zaidi ya blaa blaa ambazo hazina Ushaidi wowote sema alichosema polepole ni kweli hii ni wahuni ndo tutafakariKosa la Polepole ni kuusaliti mfumo aliokuwa anautumikia. Ukikubali kufanya hizo kazi inabidi uishi na siri hizo hadi umauti ukukute.
Ni wapi umewawasikia watanguluzi wa hizo nafasi wakiropoka hovyo? Uliyoyaona kwenye mf
Anaadhibiwa na mfumo alioutengeneza mwenyewe
Ayo ndo makosa yake kama kweli ndo makosa watanzania ni maiti tunashidwa kumlinda mzalendo polepolekosa la polepole ni kujaribu kuweka wazi sababu za kifo cha magufuli...
kuweka wazi ufisadi wa rostam...
kuweka wazi makosa ya ccm kwenye uteuzi wa mgombea uraisi...
na mengine...
Hana kama ilivyo teshaPolepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?
Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli.
TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana. POLEPOLE kosa lake ni kusema jamani kuna wezi wa rasilmali za nchi mtu anayewaonyesha mwizi ndo anakua mtu mbaya hii imeishangaza sana baada ya kuitwa kupewa ongera kwa kua mzalendo kwa nchi yake ndo anageuka kua adui hivi viapo kwenye vyombo vya Usalama vijitafakali
Kabisa mkuu. Alichofanya Polepole kuanzia alipojiuzulu ubalozi ni kama alisaini hati ya kifo. No sympathisesSio Africa karibia Dunia nzima kumbuka Jamal Kashogg.
Bob Marley
Malcom X
Nk
Ukiponda Wenye nguvu na kutoa Siri zao au kupitia kwenye maslahi Yao hauachwi salama.
Wewe unatutisha sana toka mwaka 2021, ila tutavuka salamaHali ni mbaya sana
Kama ni Blaa blaa zisizo na ushahidi kwa nini yale maneno asingeyasemea ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo?? Hebu shirikisha ubongo na weweSio kweli polepole hakuna document yoyote ile ambayo polepole amewahi release ya Jamuhuri zaidi ya blaa blaa ambazo hazina Ushaidi wowote sema alichosema polepole ni kweli hii ni wahuni ndo tutafakari
Unasema hakuna ushahidi halafu unarudia kusema kuwa kosa lake ni kusema wale wezi, sijakuelewaKosa la Polepole ni kusema wale ni wezi mtu anayewaonyesha wezi wa mali za nchi huyo ni mtu mbaya?
Alikuonyesha postmortem report ya kifo cha Magufuli?kosa la polepole ni kujaribu kuweka wazi sababu za kifo cha magufuli...
kuweka wazi ufisadi wa rostam...
kuweka wazi makosa ya ccm kwenye uteuzi wa mgombea uraisi...
na mengine...