WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
chadema historia itahukumu kwa kuchagua viongozi wabovu...mmemuweka lowassa watu hawamtaki..bado tena mnataka kuchagulia cuf kiongozi?? Du!
acha upwagu...
chadema historia itahukumu kwa kuchagua viongozi wabovu...mmemuweka lowassa watu hawamtaki..bado tena mnataka kuchagulia cuf kiongozi?? Du!
Hahahaha nani unadhani atakuwa tayari kwenda kwenye li chama linalokufakufa. Hata leo hii ukimwambia Duni Haji arudi CUF atagoma. Hata ningekuwa mimi. Unacheza niniChadema nao wawakopeshe Pro.Safari, wao si wameazimwa Juma Duni
Hahahaha nani unadhani atakuwa tayari kwenda kwenye li chama linalokufakufa. Hata leo hii ukimwambia Duni Haji arudi CUF atagoma. Hata ningekuwa mimi. Unacheza nini
Dr. Slaa ndiye anayetarajiwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa CUF kabla ya kufanyika kikao cha mkutano mkuu wa CUF utakaomuidhinisha rasmi kuwa mwenyekiti kamili wa chama hicho.
Apewe Mtatiro Tutafanyanae Kazi
Salaam Wakuu
Tumesikia Habari Za Kujiuzulu Prof.Lipumba, Mwenyekiti Wa CUF. Kujiuzulu Huku Kumetia Pengo CUF Na UKAWA ambalo linahitaji Kuzibwa na Mtu Mwenye Uwezo. Nani Anaweza Kuwa Mwenyekiti Mpya Wa CUF? Magdalena Sakaya, Julius Mtatiro, Jusa Ladu, Kambaya.
Nani Anafaa? Tutafakari
Julius Mtatiro atosha! ni msomi, jasiri na mzalendo.
Salaam Wakuu
Tumesikia Habari Za Kujiuzulu Prof.Lipumba, Mwenyekiti Wa CUF. Kujiuzulu Huku Kumetia Pengo CUF Na UKAWA ambalo linahitaji Kuzibwa na Mtu Mwenye Uwezo. Nani Anaweza Kuwa Mwenyekiti Mpya Wa CUF? Magdalena Sakaya, Julius Mtatiro, Jusa Ladu, Kambaya.
Nani Anafaa? Tutafakari
duh, haya procurement officerMtatiro atanunuliwa mapema asbh kabla ya saa 4 tupo hapa
Dr. Slaa ndiye anayetarajiwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa CUF kabla ya kufanyika kikao cha mkutano mkuu wa CUF utakaomuidhinisha rasmi kuwa mwenyekiti kamili wa chama hicho.
Weka akiba ya Maneno