Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,982
Salaam Wakuu
Tumesikia Habari Za Kujiuzulu Prof.Lipumba, Mwenyekiti Wa CUF. Kujiuzulu Huku Kumetia Pengo CUF Na UKAWA ambalo linahitaji Kuzibwa na Mtu Mwenye Uwezo. Nani Anaweza Kuwa Mwenyekiti Mpya Wa CUF? Magdalena Sakaya, Julius Mtatiro, Jusa Ladu, Kambaya.

Nani Anafaa? Tutafakari
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Nadhan kwa Mtu mwenye ndoto za Taifa kama Mtatiro anafaa sana
 
Salaam Wakuu.Tumesikia Habari Za Kujiuzulu Prof.Lipumba, Mwenyekiti Wa CUF.Kujiuzulu Huku Kumetia Pengo CUF Na UKAWA.Linahitaji Kuzibwa Na Mtu Mwenye Uwezo.Nani Anaweza Kuwa Mwenyekiti Mpya Wa CUF?MagdalenaSakaya,Julius Mtatiro,Jusa Ladu, Kambaya...Nani Anafaa?Tutafakari

Dr. Slaa ndiye anayetarajiwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa CUF kabla ya kufanyika kikao cha mkutano mkuu wa CUF utakaomuidhinisha rasmi kuwa mwenyekiti kamili wa chama hicho.
 
Mtatiro anafaa kama watamwamini, pia atakuwa ameondoa ile dhana ya udini inayohubiriwa na maccm
 
Achane kupiga kura nyuma ya keyboard mtaka mtu wa kumbuluza waache wenyewe cuf wataamua
 
Mtatiro atanunuliwa mapema asbh kabla ya saa 4 tupo hapa
 
...mimi napendekeza sasa mwenye kiti atoke upande wapili kwa maana ya Zanzibar coz hao watu wanamisimama hisiyoyumba linapokuja swaala la kupigania haki za wanyonge...
 
Chadema historia itahukumu kwa kuchagua viongozi wabovu...mmemuweka Lowassa watu hawamtaki..bado tena mnataka kuchagulia CUF kiongozi?? Du!

Unamaanisha watu wapi???au ni kikundi kidogo cha wezi wa pale lumumba???
 
Back
Top Bottom