majangatz
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 107
- 91
Kwa jinsi namba zilivyo ile moja ya mwisho ya mstari ina mahusiano na moja ya kwanza ya mstari. Yaani ya mwisho mstari wa kwanza mahusiano na mwanzo mstari wa pili na mwiaho mstari wa pili mahusiano na mwanzo mstari wa kwanza. Kwa kurahisisha tafuta karatasi ndeeeefu uandike kwenye mstari mmoja tu hiyo hesabu yote.Tuelezee ulivyokokotoa basi.