nani anautaalamu wa ma Pd proxy jamani naihitaji ?

nani anautaalamu wa ma Pd proxy jamani naihitaji ?

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
Kama kuna mtu anaujuzi wa hii kitu nahitaji maana kila cku namaliza pesa 2 plz mtu mwenye ujuzi wa hii kitu aniunganishe?
 
Still entertainig this issue in public here

Mtaumia sio mda subiri SPY wa TCRA asome hii
 
Dah...kazi ipo. People can never keep quiet.

Mm yangu macho wala hizi presha niliachana nazo
sitaki kufa kwa ajili ya watu wasiojijali wao

uzuri kwa sasa siwi affected na hii kitu hata wablock mara mia kwangu hawatafika kamwe
ngoja tuwaacheni....aliyekosea wa kwanza ni yule mtu aliyemtaarifu admin wa TG na yule aliyeanza kuwapassia kila mtu humu jf kwa PM kwa nn msitumie pekee enu japo watu wataita uchoyo lkn huu ni uchoyo "mtakatifu"

mkuu we waache waendelee wataona watakavyokuwa wanaburuzwa kila siku na hamna kupause TG kila siku itakuwa ni loss
 
Back
Top Bottom