pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Jamaa katoka kubugia wanzuki, tena mchana kweupe. Apewe siti na anunuliwe maziwa au patachimbika, kuna mtu ataumia! 😀Huyo D simuelewi ni kichaa au?
Jamaa katoka kubugia wanzuki, tena mchana kweupe. Apewe siti na anunuliwe maziwa au patachimbika, kuna mtu ataumia! 😀Huyo D simuelewi ni kichaa au?
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo boya hakustahili atakuepo kwenye hyo pichaJamaa katoka kubugia wanzuki, tena mchana kweupe. Apewe siti na anunuliwe maziwa au patachimbika, kuna mtu ataumia! 😀
Ndio maana siti ni yake, alikuwa ametoka nje kidogo kuvuta sigara, stimu zote zimeamka na sasa yupo tayari kwa safari. 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23] huyo boya hakustahili atakuepo kwenye hyo picha
Basi wamuachie tu siti yake sasaNdio maana siti ni yake, alikuwa ametoka kidogo kuamsha stimu zake na sigara. 😀😀😀
Mmmm C kama kibaka na mkoba si balaaaac,then nikisimama ntambeba mtoto wa A na mkoba wa B