Nani anastahili kupata siti hii?

Nani anastahili kupata siti hii?

LUGWA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
961
Reaction score
473
FB_IMG_1523432920322.jpeg
 
"B" kwa sabababu ni mzee sana.
That old lady should seat and take the child..
Hana faida yoyote...ameshakula maisha...productive power yake imekwisha....amerudi stage ya kuhudumiwa badala ya kuhudumia...

Ila A ni muhimu maana bado wapo kwenye kundi la uzalishaji...huwezi jua huyo dogo anaweza kuja kuwa Rais, mgunduzi..nk nk nk....mama bado ni kijana....
 
ila ni mara chache sana ku face circumstance kama hiyo katika mazingira ambayo utawakuta hao jamaa wote kwa pamoja.Even me ingenichukua muda sana kufanya decision ninge face hiyo scenario.
Jamaa hapo ni kipofu, kageuka upande huo sababu kasikia sauti upande huo.
 
Back
Top Bottom