Nani anastahili kupata siti hii?

Nani anastahili kupata siti hii?

ila ni mara chache sana ku face circumstance kama hiyo katika mazingira ambayo utawakuta hao jamaa wote kwa pamoja.Even me ingenichukua muda sana kufanya decision ninge face hiyo scenario.
Kweli kabisa, ila nadhani kwa haraka ni huyo A kwasababu ndio yupo karibu yako, unamuona kwa urahisi hivyo haraka akili itaamua umpishe yeye.
 
me sinaga kawaida ya kupisha mtu nikishapataga seat nawasha data ni mwendo wa kuperuzi had nafika
 
Sheria ni kwamba ikiwa level seat huruhusiwi kupanda ukipanda umeamua kusimama.. kukuonea huruma sio haki yako .Mi sipishi mtu kabisa
Central Zone bado [emoji23] [emoji15]
 
Kati ya wote hao, A ndie hana nafasi kabisa. Yeye anaweza tu kusaidiwa mtoto kubebwa then yeye akaendelea kusimama!

Top priority ni huyu mgonjwa (D) ambae anaweza kufa kwa kukosa mazingira mazuri ya usafiri.

Hawa wengine hawawezi kufa wakisimama!
 
Back
Top Bottom