Nani anasema Lissu anaichafua nchi?

Nani anasema Lissu anaichafua nchi?

Mkuu unapoandaa desa na kuwapa great thinker wajadili jitaid kuwa SMART sio unaparasa parasa kama bata.Swali la Nyani Ngabu linalogic coz kauliza kutoka kwenye kilichoandikwa na kama hakikua na umuhim hicho kilichoandikwa basi hakikupaswa kuandikwa.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Kwa muktadha huo inaonesha ngabu amekubaliana na hoja zote za Uzi huu kasoro ile tu aliyoitilia shaka hadi akahoji
 
Sijaona mahali ilipoandikwa Lissu kuhutubia UN tar 23/01/2019
Unakichwa kigumu mno. Hapo pameandikwa Lisu atahudhuria mkutano mkuu wa UN September. Hii ni taarifa mpya lkn kama unaakili timamu lzm uhoji feedback za huyohuyo lisu kuhutubia UN 23 January.watu SMART ni wafuatiliaji, sio wakukariri na kumezeshwa vitu. Unakubali vipi taarifa ya lisu kuhudhiria UN September wakati hujapewa feedback ya 23 January?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Hata wewe hapa umekariri tu ndio maana ukashindwa kuja na hoja ya hitimisho la hoja yako
Unakichwa kigumu mno. Hapo pameandikwa Lisu atahudhuria mkutano mkuu wa UN September. Hii ni taarifa mpya lkn kama unaakili timamu lzm uhoji feedback za huyohuyo lisu kuhutubia UN 23 January.watu SMART ni wafuatiliaji, sio wakukariri na kumezeshwa vitu. Unakubali vipi taarifa ya lisu kuhudhiria UN September wakati hujapewa feedback ya 23 January?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kwa muktadha huo inaonesha ngabu amekubaliana na hoja zote za Uzi huu kasoro ile tu aliyoitilia shaka hadi akahoji
Hapana sio kweli,tuna utofaut, mfano Mimi ktk madesa marefu ukiandika pumba aya ya kwanza tu basi siendelei kusoma. Mfano Mimi nimeishia aya ya pili alipoleta story za kuhudhiria UN September.Nkaona tu huko kote zitakua zimejaa pumba.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Propaganda kutoka Ufipa. Erythrocyte alikuja na Desa lake la LISU kuhutubia UN 23 January. Nyumb****walikata mauno sana humu ndani na kuna baadhi ya vijiwe huko mtaani story zilikua hizo.23 Jan imepita hakuna hata nyumb ******* aliyehoji kamanda lisu vipi huko UN?Leo wameletewa desa na Malisa kuhusu Mkutano mwez September hao tena wameanza kuzungusha viuno. Washasahau kuwa kuna habari kama Hii nyuma kidogo na hakuna feedback. HAWA WATU UKIWAITA NYUMB***** UNA MAKOSA?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Mkiwa kama kasuku je kuna yeyeto awezae kuzijibu hoja za TL, zaidi ya kutumia bunduki na kuweka kwenye viroba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Great thinkers mtakuwa nyie walamba nyayo za viongozi wa serikali?
Mwambie ukweli mkuu, hakuna kiongozi ambae asawai simama mbele ya watu akasema yeye ni kichaa isipokuwa john pombe magufuli, hakuna kiongozi ambae asafanya mamia ya watu wapotee, wengine kuokotwa huko mto rufiji kaa huyu dictator magufuli, hakuna kiongozi yeyote asawai angiza mbunge apigwe risasi sisizopungua 37 katika manyumba ya wabunge isipokuwa huyu pombe magufuli, hakuna kiongozi ambae amepora takribani 1.5trn hela za walipa kodi kaa huyu kichaa magufuli, hakuna kiongozi ambae katumia mamia ya mamilioni kununua wabunge na madiwani wa upizani kaa huyu kichaa magufuli, MHE TUNDU LISSU dunia nzima inamusikiza, inamuunga mkono, inamuhesimu na inaona huyu ni raisi mtarajiwa wa tz. sasa hii kina magufuli, makonda na pia yule kijana ambae hata elimu hana nilimusikia akiropokwa juzi yaani musukuma mbunge geita, hawajui na hawatajua ile mhe lissu anasema na wao hata wakipewa nafasi kuongea huko ulaya hawawezi maana hata english kwao kuijua ni ndoto
 
Hata wewe hapa umekariri tu ndio maana ukashindwa kuja na hoja ya hitimisho la hoja yako
Ningekua nimekarr hiyo aya inayosema lisu atahudhuria mkutano mkuu wa UN September basi ningepita tu na nisingeona kuna ttz.Lkn nilipofika hapo akili ikanijia mbona sijapewa feedback ya 23 January?Nikajiongeza kuwa hili andiko ni rubbish

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Hapana sio kweli,tuna utofaut, mfano Mimi ktk madesa marefu ukiandika pumba aya ya kwanza tu basi siendelei kusoma. Mfano Mimi nimeishia aya ya pili alipoleta story za kuhudhiria UN September.Nkaona tu huko kote zitakua zimejaa pumba.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Hahahaha pole yako maana mkiambiwa ninyi ni wavivu wa kufikiri huwa mnacharuka sana kumbe ni ukweli ulio wazi

Huwezi kuleta mabishano ya hoja juu ya Uzi huu ikiwa hata hujausoma wote, ndio maana wakati mwingine huwa mnapinga msichokijua
 
Kuna raia wa Tanzania wamegeuzwa mateka kwenye nchi yao wenyewe. Mkurugenzi wa TWAWEZA, kwa mfano, kanyang'anywa paspoti hawezi kusafiri nje kwa kuendesha poll tu na kusema umaarufu wa Jiwe umeporomoka just imagine. We real need Lissu at this very high time!

Watu wanatekwa,
Wanauawa,
Wanapotezwa,
Wanabambikizwa unbaillable offences,
Majaji wanakimbia walalamikaji,
1.5 T zimekombwa,
Uchumi uchumi uchumi,
Hakuna uhuru wa habari, siasa, kukusanyika,

Kwa sasa tunahitaji sapoti ya mabeberu kuliko mateso ya huyu mzalendo.

Let Lissu get us helped!!

Sent using Jamii Forums mobile app
AMEN barikiwa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom