Kuna raia wa Tanzania wamegeuzwa mateka kwenye nchi yao wenyewe. Mkurugenzi wa TWAWEZA, kwa mfano, kanyang'anywa paspoti hawezi kusafiri nje kwa kuendesha poll tu na kusema umaarufu wa Jiwe umeporomoka just imagine. We real need Lissu at this very high time!
Watu wanatekwa,
Wanauawa,
Wanapotezwa,
Wanabambikizwa unbaillable offences,
Majaji wanakimbia walalamikaji,
1.5 T zimekombwa,
Uchumi uchumi uchumi,
Hakuna uhuru wa habari, siasa, kukusanyika,
Kwa sasa tunahitaji sapoti ya mabeberu kuliko mateso ya huyu mzalendo.
Let Lissu get us helped!!
Sent using
Jamii Forums mobile app