Hivi nani alichagua wabunge wa viti maalum Chadema.
CHADEMA iko imara maana yake nini?
Hivi kwanza CHADEMA ni nini hasa?
Hivi tunajua CHADEMA ni wazo tu!? Na wazo huwa ndani ya watu, hivyo wazo hilo huonekana kupitia matendo ya wale ambao wazo lipo ndani yao? Hivi tunajua CHADEMA ni mimi na wewe?
Chama cha siasa ni wazo tu na sio kitu yabisi ambacho kimewekwa mahali. Inashangaza sana mimi na wewe tukiwa tunasema mara kwa mara kwamba CHADEMA ni imara hali mimi na wewe hatujafanya wala hatufanyi chochote cha maana kuuweka uimara huo. Tunazungumza kana kwamba CHADEMA ni kitu "Concreate" ambacho kipo mahala na kipo "Constant".
Yatupasa tufahamu kwamba CHADEMA ni mimi na wewe, na matendo yetu ndio yanayotoa taswira ya kwamba CHADEMA ni nini, CHADEMA ni imara au ni dhaifu n.k. Kusema tu CHADEMA ni imara wakati mimi na wewe hatuna kitu chochote cha maana tunachokifanya ili kuleta au kuhakikisha uimara huo unadumu, si sahihi hata kidogo.
Jiulize hapo ulipo mpaka sasa ni nini umefanya ili kudhihirisha au kuchangia huo uimara wa CHADEMA? Kama hamna ulichofanya na hamna unachofanya, basi badilika haraka na chukua hatua 2014. Elewa CHADEMA ndio wewe! Na kuwajibika na kujituma kwako, ndio kutaifanya CHADEMA iwe imara na kinyume chake!
Elewa! Mimi na wewe tukiwa na mshikamano kwenye mambo ya msingi huo ndio uimara na taswira ya CHADEMA na tukiwa tunagawanyika gawanyika ndio udhaifu wa CHADEMA, na matendo huzungumza zaidi ya maneno.
Elewa! Tukiwa tunaonesha uwezo wetu katika kudhibiti na kutatua migogoro ndani na nje yetu huo ndio uimara wetu na tukiwa tunashindwa kufanya hivyo ndio udhaifu wetu, na matendo yanaongeea zaidi ya maneno.
Elewa! Tukiwa tunaongea hoja za msingi kila mara ndio uimara wetu na tukiwa tunaongea mambo tu ili mradi ndio udhaifu wetu, na matendo huzungumza zaidi ya maneno!.
Elewa! Tukionesha jazba (udhaifu) ndio tunaonesha taswira ya chama na tukionesha hekima (uimara)ndio tunaonesha taswira ya chama na matendo huzungumza zaidi ya maneno!
Elewa! Tukionesha chuki na visasi katika jamii yetu ndio tunaonesha taswira ya chama (udhaifu) na tukionesha busara na ustaarabu (uimara) tunaonesha taswira ya chama vile vile!
Elewa! Tukiwa tunatenda uadilifu katika jamii zetu tunatoa taswira ya chama chetu katika muelekeo huo na kinyume chake.
Haiingii akilini na wala haina maana kusikia mke na mume wanapigishana kelele mara kwa mara ndani ya nyumba mara chupa zinarushwa halafu wakitoka nje wanasema "ndoa yetu imara ati" matendo yanaongea zaidi ya maneno! (ni mfano tu jamani). Na mimi na wewe ndio tunaamua tufanye nini ili tutoe taswira gani!
Wakati tunafunga mwaka, wewe unayesema CHADEMA ni imara, jiulize, umetoa mchango gani katika uimara huo au wewe mwenyewe ni imara kiasi gani na katika jambo gani! Kwa sababu CHADEMA ni mimi na wewe. Zaidi ya hapo mimi niseme CHADEMA si imara kama ambavyo tunazungumza. Tunatakiwa tuiimarishe 2014 vilivyo kwa matendo, na ni mimi na wewe na wala sio fulani na fulani!.
Uimara wako +uimara wangu + uimara wa jamaa= uimara wa chama
Udhaifu wako+ Udhaifu wangu+ Udhaifu wa jamaa = udhaifu wa chama.
CHADEMA ni chama kimeanzishwa kisheria na kinakuwa kwa maana kinapata wanachama wapya wengi hadi vivjijini, ila kinaandamwa sana na mamluki,wanafiki wengi wamejiunga wakati akilizao bado ziko CCM, CCM wenywewe wamekikaba koo kweli kweli chama chetu wanakihujumu usiku na mchana akina Ngulu Nchemba, Chris Lukosi kutwa kucha ni kukihujumu tu chama chetu hadi kuonekana kama vile siyo chama madhubuti
Mimi nilichofanya ni kukata kadi, kushona NGUO za chama pair nyingi na kutoa usafiri pikipiki yangu XL Japan kwenda vijijini kuratibu uhai wa chama ngazi za kaya na kuyazomea Ma-CCM kiasi yakivaa manguo yao yanaonekana kama yamejipaka mavi.
Ndugu,hawa wafuasi wa traitor zitto yaani wanatapa tapa kweli,wangekuwa wapo karibu ilitakiwa kuwachapa vibao kwa kubwabwaja kwao. Any way siyo mda mrefu tutawapa zitto wao ili waanzishe chama chenye yote watakayopenda wao.
uadilifu ni kutembea na wake za watu?
Msikamano ni kutaka kuanzisha taifa la kaskazini?
Hoja za msingi ni kuhalalisha gongo?
Unazungumzia cdm hii nayoifaham au labda sijakuelewa?
Samahanai sikusoma mpaka mwisho. Si kwamba mm ni mvivu wa kusoma kama Rais wenu wa magamba lkn nina utaratibu wa kuangalia head line nikajua huu ni upuzi au ni kitu cha maana cha kusoma. Nawasihi wanajamvi wote msipende kusoma mpaka mwisho vitu ambavyo havitawasidia chochote hata kama utavikosa mwaka mzima hutapungukiwa na lolote. Mf. Mm huwa namaliza mwaka mzima bila kusoma magazeti ya Shigongo. si kwamba namchukia mmiliki la hasha! Ni kwamba najiuliza ni kitu gani kipya nitapata kutoka ktk magazeti hayo kitakcho fikirisha akili yangu..............jibu ni hakuna!!! Back to the topic. Mtu kama huyu sijui kama yuko sayari gani asiamini kuwa Chadema c chama cha kufanyia mchezo linapo kuja suala kama la uchaguzi. Shauri lako ndugu endelea kujilisha upepo maana najua hauko peke yako Magamba mengi ndivyo yanavyo fikiri lkn adhanie amesisimama....... Endelea kufikiri kwa Ma------ then wote mtavuna mabua. Napita mimi mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!! Macho na kucha zangu tu ndo ninavyohurumia. MAGAMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! nAPE KAMA KAWAIDA. KINANA NA TEMBO WETU.CHADEMA iko imara maana yake nini?
Hivi kwanza CHADEMA ni nini hasa?
Hivi tunajua CHADEMA ni wazo tu!? Na wazo huwa ndani ya watu, hivyo wazo hilo huonekana kupitia matendo ya wale ambao wazo lipo ndani yao? Hivi tunajua CHADEMA ni mimi na wewe?
Chama cha siasa ni wazo tu na sio kitu yabisi ambacho kimewekwa mahali. Inashangaza sana mimi na wewe tukiwa tunasema mara kwa mara kwamba CHADEMA ni imara hali mimi na wewe hatujafanya wala hatufanyi chochote cha maana kuuweka uimara huo. Tunazungumza kana kwamba CHADEMA ni kitu "Concreate" ambacho kipo mahala na kipo "Constant".
Yatupasa tufahamu kwamba CHADEMA ni mimi na wewe, na matendo yetu ndio yanayotoa taswira ya kwamba CHADEMA ni nini, CHADEMA ni imara au ni dhaifu n.k. Kusema tu CHADEMA ni imara wakati mimi na wewe hatuna kitu chochote cha maana tunachokifanya ili kuleta au kuhakikisha uimara huo unadumu, si sahihi hata kidogo.
Jiulize hapo ulipo mpaka sasa ni nini umefanya ili kudhihirisha au kuchangia huo uimara wa CHADEMA? Kama hamna ulichofanya na hamna unachofanya, basi badilika haraka na chukua hatua 2014. Elewa CHADEMA ndio wewe! Na kuwajibika na kujituma kwako, ndio kutaifanya CHADEMA iwe imara na kinyume chake!
Elewa! Mimi na wewe tukiwa na mshikamano kwenye mambo ya msingi huo ndio uimara na taswira ya CHADEMA na tukiwa tunagawanyika gawanyika ndio udhaifu wa CHADEMA, na matendo huzungumza zaidi ya maneno.
Elewa! Tukiwa tunaonesha uwezo wetu katika kudhibiti na kutatua migogoro ndani na nje yetu huo ndio uimara wetu na tukiwa tunashindwa kufanya hivyo ndio udhaifu wetu, na matendo yanaongeea zaidi ya maneno.
Elewa! Tukiwa tunaongea hoja za msingi kila mara ndio uimara wetu na tukiwa tunaongea mambo tu ili mradi ndio udhaifu wetu, na matendo huzungumza zaidi ya maneno!.
Elewa! Tukionesha jazba (udhaifu) ndio tunaonesha taswira ya chama na tukionesha hekima (uimara)ndio tunaonesha taswira ya chama na matendo huzungumza zaidi ya maneno!
Elewa! Tukionesha chuki na visasi katika jamii yetu ndio tunaonesha taswira ya chama (udhaifu) na tukionesha busara na ustaarabu (uimara) tunaonesha taswira ya chama vile vile!
Elewa! Tukiwa tunatenda uadilifu katika jamii zetu tunatoa taswira ya chama chetu katika muelekeo huo na kinyume chake.
Haiingii akilini na wala haina maana kusikia mke na mume wanapigishana kelele mara kwa mara ndani ya nyumba mara chupa zinarushwa halafu wakitoka nje wanasema "ndoa yetu imara ati" matendo yanaongea zaidi ya maneno! (ni mfano tu jamani). Na mimi na wewe ndio tunaamua tufanye nini ili tutoe taswira gani!
Wakati tunafunga mwaka, wewe unayesema CHADEMA ni imara, jiulize, umetoa mchango gani katika uimara huo au wewe mwenyewe ni imara kiasi gani na katika jambo gani! Kwa sababu CHADEMA ni mimi na wewe. Zaidi ya hapo mimi niseme CHADEMA si imara kama ambavyo tunazungumza. Tunatakiwa tuiimarishe 2014 vilivyo kwa matendo, na ni mimi na wewe na wala sio fulani na fulani!.
Uimara wako +uimara wangu + uimara wa jamaa= uimara wa chama
Udhaifu wako+ Udhaifu wangu+ Udhaifu wa jamaa = udhaifu wa chama.
toa majibu acha kujibalaguza hapa.kweli we ni chausikukitamu
Mkuu bado msimamo wako ni huu huu au umebadilika?betlehem
Kama wewe hauko Imara sisi wenzio tuko imarq na tunazidi kujenga chama.
Tunashukuru kwa kukiri kwako kuwa wewe ni dhaifu na goi goi na huwezi kuwa na thaman yeyote ndani ya CHADEMA.
inshort haujawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA aisee.
Utahangaika sana na 2013 ndo hiyo inaoishia zake.
Mkuu bado msimamo wako ni hou huo au amebadilika?Mimi nasema chadema ni imara zaidi ya hicho kiasi chako.unataka nini zaidi?
Mkuu bado msimamo wako ni huu huu au umebadilika?
Mkuu bado msimamo wako ni hou huo au amebadilika?
mkuu, bado msimamo wako ni ule ule?ah!cdm ni imara aisee tambua.
mkuu bado msimamo wako ni huo huo au kwa kiasi umebadilika?pole sana chadema ndio maisha yako lakini bado unaimba melody zenye tune tofauti utashangaa na maisha yako
Kuna watu hawataki kabisa kuambiwa ukweli.Yaani inakuwa ni kama mtu alielala halafu asubuhi imefika lakini anaendelea kujifunika mashuka ili asione mwanga akidhani kwamba bado itaendelea kuwa usiku, kumbe anayeendelea kuona giza ni yeye peke yake wenzake walioko nje wanaona mwanga!toka zito ameondoka chadema imekuwa dhaifu sana