CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
betlehem
Kama wewe hauko Imara sisi wenzio tuko imarq na tunazidi kujenga chama.
Tunashukuru kwa kukiri kwako kuwa wewe ni dhaifu na goi goi na huwezi kuwa na thaman yeyote ndani ya CHADEMA.
inshort haujawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA aisee.
Utahangaika sana na 2013 ndo hiyo inaoishia zake.
Nilikuwa simuelewi betlehem ila sasa nimeshamuelewa. Ila wanachama wa aina yako ni aibu sana na hasara kwa chadema. Inawezekana wewe ni chadema chumbani ndio maana unamtukana nja kumvua uanachama kamanda mwenzako kwa kutoa wazo tofauti na akili yako.
Last edited by a moderator: