Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,083
- 3,947
Yeyote alie matured, mwenye akili na busara zaidi ndo anatakiwa kuvunja ukimya
Huu ndio ukweli
Yeyote alie matured, mwenye akili na busara zaidi ndo anatakiwa kuvunja ukimya
Umenena...ninavyopenda kudekezwa sasa[emoji3]Mwanamke ni ua, ni pambo la dunia...mwanamke anadeserve kumbembelezwa bila kujali source ya mfarakano. Only a man can do this
Ipo siku utaumizwa na wewe...ndio utanogewa...Mimi siku zote napenda kuwaumiza wanawake tu ila mi kuumizwa sipendi aisee.