eti ni nani kati ya hawa wafuatao wanaongoza kuharibu noti zetu na kuonekana kuwahi kuchakaa
1. Wauza mkaa
2. Wauza maji
3. Akina mama kuziweka kwenye matiti yao. Ongeza na wengine. Nashut down
deadly wrong you are.
Makonda wanastahili kupewa tuzo ya heshima na BoT kwa kutunza noti vizuri. Nadhani ni pro's wa pili kwa kutunza fedha vizuri baada ya bankers.