Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
...Nenda TBC watakunyonyea tu kwa kamchango kadogo!!!!Nimetafuta miaka nenda rudi wimbo wa "Mkono wa Idi" bila ya mafanikio. Sijui kama ni Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba au wakati akiwa Morogoro Jazz... mwenye kuwa nao naomba mnitumie mwanakijiji@klhnews.com
...Nenda TBC watakunyonyea tu kwa kamchango kadogo!!!!
Nimetafuta miaka nenda rudi wimbo wa "Mkono wa Idi" bila ya mafanikio. Sijui kama ni Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba au wakati akiwa Morogoro Jazz... mwenye kuwa nao naomba mnitumie mwanakijiji@klhnews.com
Kwa habari nilizozipata muda si mrefu, mara baada ya wewe kupost hili tangazo, Lowassa alikimbia haraka kwenda kununua rights zote za huo wimbo. Sasa kazi kwako..... lol
Nikimpigia magoti kubembeleza itakuwa ni ufisadi? na akitokea kunipa bure kwa masharti "mepesi" nikubali? Well nitamuambia "what happened between us was nothing personal"... LOL
Nimetafuta miaka nenda rudi wimbo wa "Mkono wa Idi" bila ya mafanikio. Sijui kama ni Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba ...