bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
Mbona kama walifunga mahindi ghafi ili yasagwe na kusindika then wapeleke nje unga,PM alisema hivyo.Uongezaji wa thamani ndio ilikua sababu ya ban.Kukosekana kwa Viongozi wenye maono Tanzania kumeifanya siku zote ibaki tu kama msindikizaji kwenye kila kitu.
Kenya wanahitaji Unga wa mahindi badala ya kuhamasisha Watanzania walime kwa wingi usindike unga uuze Kenya unakimbilia kufunga mpaka. Hiyo ni kukosa akili au ni kuwaza kwa makalio.
very true....anyone else before you answer, read this one first...accuratePlaying ground is level, no one is disadvantaged it's just that some are more aggressive than others
It will have to open its borders and embrace common external tariff.This will mostly benefit Kenya because of LAPSSET.Ethiopia's entry into the community would also be beneficial but the country is very protectionist...
Kweli swala la transport cost bado ni kikwazo,si EAC bali Afrika yote.Japo East African Community Customs Management Act inataka vizuizi vya mzigo vipunguzwe ila bado hali sio ya kuridhisha.Hakuna anayenufaika kuliko mwingine, maana EAC ina potential nyingi na pana sana ambayo bado hatuja anza kuzitumika vizuri. Kwa mtazamo wangu nadhani tunatumia 5-10% ya uwezo wetu kiuchumi (EAC). Bado ni kikwazo kuwa na mawasikiano bora kutoka nchi moja hadi nyingine ukizigatia hizi ni nchi zilizo pakana. Bado hatuzalishi umeme wa kutosha, chakula bado ni shida maana kinacho zalishwa sehemu moja ya EAC kinaweza kuchukuwa zaidi ya wiki moja kufika sehemi nyingine ndani ya EAC. Bado tunategemea bidhaa nyingi sana kutoka nje, vitu ambavyo tunaweza kuzalisha wenyewe hapa jhapa EAC kuanzia TV, magari, nguo, dawa, mpaka chakula. Siwezi kusema kama kuna nchi moja inanufaika zaidi ya nyingine kwa hivi sasa maana wote bado tunapapasa juu juu tu wala hatujaanza kukuna ile kisawa-sawa.
Kweli swala la transport cost bado ni kikwazo,si EAC bali Afrika yote.Japo East African Community Customs Management Act inataka vizuizi vya mzigo vipunguzwe ila bado hali sio ya kuridhisha.
Tanzania ina sekta changa ya viwanda ukilinganisha na jirani yake wa kaskazini Mashariki.Bidhaa nyingi sana za Kenya zilisambaa Tanzania,haswa mikoa ya kaskazini supermarkets shelves zilipendezeshwa na bidhaa toka Kenya.
Na ndio maana Kukatokea mgogoro kati ya hizi nchi sababu ya TZ kuhisi inaliwa.
Kwa wakulima wa mazao ya biashara wanawajua wanunuzi wa Kenya,hivyo vitunguu sijui mahindi,wakulima wote wa tz wanakusanyia mazao yao Kenya then Kenya ndio inayapeleka nje sometimes wakiwa wameyachakata.
Suala la nishati nafikiri Tanzania itakuja kua na inawezekana kua katika nafasi nzuri ikifanikiwa kuunganisha natural gas yake kwenye grid na naona kuna mipango ya kwenda kuuzia gesi majirani zake kama Uganda , Kaskazini Mashariki ya Kongo na Rwanda& Burundi.
Good grasp of economic issuesKenya will benefit more when East Africa Road Network Project along Arusha Moshi Voi road will openly "expose" northern Tanzania to Mombasa Port.
Northern corridor is more important in the entire East and Central Africa. Si mimi nimesema. Follow linkWhat major transport corridor allow larger passage of goods.The northern corridor from Mombasa Kampala Kigali or the central corridor from Dar Moro Singida Nzega Mutukula/Rusumo?