Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Zaburi 105:15
Don't harm my chosen servants; do not touch my prophets."

Sasa ni hivi, that is a command. Refer kitabu cha hesabu 12

Aroun na miriam wakiwa wanamuongea vibaya Musa.

So be careful ukiwa unaongea vibaya dhidi ya watumishi wa Mungu
Acheni undezi undezi.

Watu wafanye upumbavu mwatete.

Kuhusu maandiko ndo mnayajua hayo.
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Kwanini wiki chache Tony alitolewa unabii na Uebert Angel as hamfahamu then leo hii ionyeshe wanafahamiana kitambo?
 
Kama mwalimu kama mwakasege sawa.

Ila kama mchungaji inabidi uache kuzurura ukae uchunge kanisa lako.

Watu wake wa morogoro wanachungwa na nani?

Anafuata Hela tu kutwa Dad,dodoma si aende njombe ,iringa ,ruvuma
Hata sisi watu wa Kalambo na Namanyere tunahitaji aje kueneza injili.
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
A brainwashed individual on the 1&2, huyo ni tapeli tu kama kina Mwamposa, Taifa lililojaa wajinga ndio linakuwa na watu wa aina hiyo. Birds of the same feathers.......
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Anapofanya Mahubiri yake huwa anakufuata Chumbani Kwako na Kukushikia Panga au Jiwe la FATUMA Kukulazimisha uende Kanisani Kwake Ukaabudu au uwe Unamfuatilia na Kumsikiliza?

Hovyo kabisa.....!!
 
Mathayo 7:6 BHN
“Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga

hapa mbwa na nguruwe ni watu wanaoishi kila siku mnaonana nao na wanapost ktk mitandao ya kijamii lakini sio watu ni mbwa na nguruwe.
EXACTLY MKUU
 
Kizazi cha nyoka kinapingana na injili ya kristo. Haha haha haha hahah hahah hahah halafu wanajiona wanauliza maswali ya hekima kumbe ni upumbavu machoni kwa Mungu.
Hahaha haha haha haha haha
Mtu wangu unaangamia kwa kukosa maharifa hahahahaahah
 
Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.
Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.
1Tutakufanyizia mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha.
Really? @mimihamadiwenani njoo ufumbue funbo la farasi huku
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Kapola namfahamu kiasi. Na huu ndiyo ukweli.

Kapola amesoma SUA; Bachelor. SUA alisoma Rural Development. Hana Masters yo yote labda kama ni kamba na majigambo yake ya kawaida!.

Mkewe ana Masters ya Jordan University hapo hapo Morogoro. Ni mwalimu by profession. Hana PhD, wala hafanyi PhD na wala hajawahi kufanya PhD.

Kanisa lake lipo chini ya Calvary Assemblies of God kwa Bishop Ryoba by then ndiye alikuwa spiritual father wake. Sasa hivi Calvary ipo chini ya Bishop Makundi. Kapola hata vyeti vya ndoa vya waumini wake anatumia vya Calvary.

Screenshot_20230704_042342_WhatsApp.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom