Nani Anakumbuka Hii

Nani Anakumbuka Hii

Ni hv ndugu yangu DUNIA TABU mimi na mke wangu tumefariki lakin wakati huo tulikua na watoto wanne,wawil kiume hawa mmoja wa kwanza mmoja wa mwisho na wawil wakike,baadae mtoto wa kwanza wa kiume kafarik wamebak madada na mdogo wao wa kiume ambao hao wote wanangu watatu waliobak wana watoto wao ambao n wajukuu zangu na hata yule kaka yao mkubwa alyefarik aliacha watoto wawil wa kiume ambao nao n wajukuu zangu,sasa hapo urith unagawiwaje ksheria za nch,n wakristo,mila zao n watu wa mbeya.

Wanakuja! ingekua cc, wajukuu hawana haki ya urithi kisheria!
 
Duh, nakumbuka enzi hizo ukiwa mbali unataka kupiga simu kwenu, unaenda kwa mtu unayemjua unawaaambia naomba kupiga simu rivasi kol, yaani simu ya home ndiyo inalipia gharama za mazungumzo
 
Ahahahahaaa bado tulikuwa tunaiba mkuu, mfano Namba 87356 unachofanya unanyanyua receiver halafu unafanya kama unakata kutafuta line, unaanza na nane unakata mara nane haraka haraka hiyo saba hivyo hivyo hadi unamaliza namba zako ukimaliza inaanza kuita unaongea hadi nje tulikuwa tunapiga, bill ikija anabaki analalamika TTCL wamembambikiza hawezi kuuliza mtu wakati funguo zote wameficha wao

We hatari, yaani ulikua mdijitali kwenye kizazi cha analojia?
 
yaani hapo ukiwa shule kusini mwa Tanzania halafu unapiga reverse call halafu nyumbani anapokea mtu asiyekujua na nini maana ya reverse call ilikuwa inaumaje?
 
nyumba yoyote mpokeaji simu wa kwanza ni mdingi, halafu maza halafu kaka au dada mkubwa halafu ndio wengine...

huwezi isogelea simu na kupokea simu wakati mdingi yuo labda uwe ni katoto ka mwisho kanakopendwa na washua...
 
Nyumbani enzi tuko wadogo tulikaririshwa inapotokea tatizo lolote namba 9 tuzungushe mara tatu.

Nzuri ukiwa unapiga hasa namba inapokua ya chini inapoanzia namba moja, ukiizungusha kwa kidole cha shahada mpaka mwisho, ikirudi ukiwa unasubiria namba kuzungusha namba nyingine ule mlio wake shwaaaaaa.

Na lazima hapo kwenye kisahani katikati kwenye kiplastiki mfano wa kioo kunakuwa na namba yenu
 
Tena imefungiwa na kufuli, unachoweza kukifikia kwa urahisi ni kile cha kupokelea tu ili uweze kuongea lakini sio upande wa namba ili upige.....

lile kufuli likikuwa halizuii kupiga, unabonyeza ile button under receiver according to number, kama ni 2 unabonyesza mara mbili titi, kama ni 9 unabonyeza mara 9 tititititititititi
 
lile kufuli likikuwa halizuii kupiga, unabonyeza ile button under receiver according to number, kama ni 2 unabonyesza mara mbili titi, kama ni 9 unabonyeza mara 9 tititititititititi

Interesting.....
 
Mi nmeshwahi kuichezea kwa staili hio ya kutumia kisu,bili ilivokuja mwisho Wa mwezi ilikua ni balaa kwenda kuchukua statement dingi akakuta simu zimepigwa kwenda radio free africa (RFA) nyumba nzima tukagoma hakuna aliepiga simu,sasa siku ya siku Mzee ameenda kulala mapema na karedio kake kadogo,kidume nikajipindua sebuleni nikapga simu RFA nikawa natuma salamu kumbe dingi kule chumban anasikiliza rfa so akanisikia natuma salamu redion asee nilichezea kichapo siku hio sitasahu!
 
lile kufuli likikuwa halizuii kupiga, unabonyeza ile button under receiver according to number, kama ni 2 unabonyesza mara mbili titi, kama ni 9 unabonyeza mara 9 tititititititititi

Hapo mmeniumbua, mtu mwenyewe nimekulia ndani ndani huko ukinunuliwa malapa unayavaa siku ya Jumapili kanisani na kwenye mtoko maalum na ukirudi unayaosha unayahifadhi chini ya kitanda uvunguni, kuonyesha kwamba hayo ni ya mtoko na shughuli maalum, shule unaenda peku peku. Kwa hiyo simu nimezijulia ukubwani na kwenye picha tu enzi hizo. Nimecheka sana huo utundu...
 
Hiyo naona kwa watoto wa kishua sie wa uswazi..mbio hizo tunawahi kugombania robo ya ugali na matembele....
 
Hiyo nimeiweka kama kumbukumbu mjukuu wangu ataiuza kwa bei mbaya kama antique
 
Ahahahahaaa bado tulikuwa tunaiba mkuu, mfano Namba 87356 unachofanya unanyanyua receiver halafu unafanya kama unakata kutafuta line, unaanza na nane unakata mara nane haraka haraka hiyo saba hivyo hivyo hadi unamaliza namba zako ukimaliza inaanza kuita unaongea hadi nje tulikuwa tunapiga, bill ikija anabaki analalamika TTCL wamembambikiza hawezi kuuliza mtu wakati funguo zote wameficha wao
hahahaha Aisee nimefanya sana huu wizi bwana naiman64....Siku moja nakatiza mitaa ya Upanga kama siyo Uhindini nikaokota reciever mpya kabisa nilichokua nafanya nachomoa ule waya wa simu RJ 11 kutoka kwenye box la kufuli nachomeka kwenye reciever yangu nagonga simu kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom