Nani anaipata clouds tv kwenye star times?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
 
Siku ya tatu leo siioni clouds tv katika king'amuzi cha startimes ,tatizo nini?
 
Kingamuzi changu cha Startime Chanel ya clouds haimo kuanza Jana mchana hivi ni kwa wote haisomi clouds
 
Habar wadau,Chanel tajwa hapo juu siioni kwenye kisimbuzi changu huko wenzangu kulikoni?
Mie Jana asubuhi nimetizama clouds live, lakini kufika mchana hio Jana, siku ya moto Moro nikataka nione urushaji wao wa matukio nikaona empty 497 haipo WAMENIUDHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…