Wakati DSTV wameingia Tz mwaka 1997,ilikua ya kulipia ila cha ajabu mwaka 1999 naenda morogoro DSTV bure,ukiwa na Antena tu Chanel zote hadi Mnet unaona,wakati dar DSTV kwa watoto wa matajiri masaki huko..
Na huo mwaka ndio ISIDINGO ilikua inaanza,my brothers walikua secondary school mimi vidudu so wakiangalia ISIDINGO namimi nimo,.
Nakumbuka isidingo star alikua jamaa anaitwa Derik Nyathi,sharobaro fulani kipenzi cha dada zetu enzi hizo,ana dreadlocks..
Dstv boss alikua dada fulani Smart sana anaitwa LUCY KIWHELE(siwezi kumsahau)..alisema atamleta Derek Nyathi Tanzania,.oya tulitembea kwa miguu hadi Airport kumuona Derek Nyathi,watu walikua wengi,kama nakumbuka alipokelewa na Lucy pamoja na Jimmy Kabwe..
Mwaka 2000 Kuna TV series ya wasauzi ikawa inaoneshwa Chanel moja na isidingo,inaitwa BACK STAGE tulikua tunaipenda sana sababu ilikua about music na vijana tu,..ITV walikua na The passion(1999 ilianza) na Days of our lives(RIP TABITHA)
Mwaka 2020 nikaIkumbuka isidingo baada ya kuona uzi humu una update kila episode...nikaanza kuangalia tena..
Kipindi ambacho hizo za kifilipino zinaanza Tanzania Tulikua tayari wajanja,internet,series tuna download tu or CDs tunanunua so sijawahi kuangalia series ya kifilipino....
Asante kwa kunikumbusha isidingo, Kuna dada anaitwa Lungi,wahuni wamemlia sana Nyeto