Nani anaikumbuka THE PROMISE?

Nani anaikumbuka THE PROMISE?

Kuna movie Moja Moja unaitwa desire ilikuwa ikirushwa na EATV saa tatu usiku. Niliizimia sana
Kuna nyingi sana ila The promise imenikaa vibaya mno, Natafuta mtu mwenye nayo a niambie namna ya kuipata
 
Wakenya, kulikuwa na mganga maarufu Kalumanzila ametajwa sana hapa Bongo, mzee Kasri, bila kumsahau binti Linda

Ilikuwa inarushwa ITV
Na kuna moja flani hivi ilikuwa na mademu mapacha ni ya bongo sema jina limenitoka enzi hizoo kabisa. Hao mademu walikuwa wanatesa sana wanaume
 
Isidingo, the promise, the long wait, passion, mutant x daaa kweli tymekuwa wazee. Nakumbuka ikifika saa tatu kasoro tunamwambia bibi tusali mapema ili tuangalie passion saa tatu. Sasa kimbembe maombi yawe ya muda mrefu tunawasha TV huku unapunguza Sauti ukisikia baba yetu uliye mbinguni tunazima TV faster sasa kale kamlio ka Hitachi wakati wa kukazima akisema amen tu tunaulizwa nani aliwasha TV mda wa maombi ni mwendo wa kuchukua TV na kupeleka chumbani kwenye box
Hakika mimi nilikuwa nachukua chakula nakula mpka napekela kijicho mashavuni kwa kukosa uhondo...

Daah mlikuwa watundu sana nyie, ila na bibi yenu alikua kuwaudhi yaani saa3 mida yenyewe kabisa... Mm home walikuwa wanajua tuu hata kama kuna mpira mbona wataacha kucheki tuu.

Yaani sometime ukiwa mtoto unapewa privilege za kipuuzi sana. Ila ndo hivyo ilisha baki kuwa story tuu
 
Shida ya maombi kuna siku akianza kumtaja mtu mmoja mmoja na matatizo yake maombi lazima yawe marefu na usisahau kipindi hicho taarifa ya habari lazima itizamwe mpka mwisho. Ila ile the promise ilikua tamu sana. Nakumbuka tukiimba pangako sayoooooo
 
HIvi kwani. Mlikuwa wa kristo? Maana hata mimi kwa Bibi Yangu walipenda sana kusali

Na ni kweli utasikia eebaba huyu kijana wako mfano Paul... Daah anaanza kushuka issue zako zooote mpka unasema Je huyo Mungu kwani hajui? (utani ila ukweli)

Mimi Nakumbuka tulikuwa tunaimba tu wala tusijue maana. Alaf siku li Angelo likimuumzia demu unakuwa unalisonya Sonya tu
 
Passions ilikuwa tamthilia ya Waingereza mwigizaji maarufu alikuwa bibi fulani mchawi aitwaye Tabitha na kamwanasesere Timmy
Ooh kweli bwana kama vile inakuja kuja sema nilikua sipendi za kichawi.
Nilipenda romance kwa sana
 
Mmi nakumbuka kulikuwa na tamthilia inaoneshwa star tv kama 2013-14 ambapo mmoja wa waigizaji alikuwa ni mdada anaitwa MAYA alikuwa anafanya kazi kwa bosi wake huyo.
Bosi wake alikuwa na mtoto bubu baada ya mamayake kufariki mtoto akawa BUBU.
Mpaka bosi na mfanyakazi walipoanza kudate ndo mtoto akaanza kuonge.
Nafikiri tamthi5ia yenyewe ikukuwa kama ni ya kichina au waphilipino.kwa anayejua anitajie jina de Gunner @seran,@lamony
 
Yes, nalikumbuka vizuri sana hiyoo
Niliaangalia vipande vipande

Inaitwa "BE CAREFUL WITH MY HEART"

One of the best too, yule Maya alikuja kujikuta anampenda boss wake tu, and they got married. Madogo watoto wa boss wake wote walitokea kumwelewa Maya. She was well mannered aisee. Ilikuwa pisi alafu ina maadili. Kama sikosei alikuwa flight attendant baada ya masomo.
 
mimi naikumbuka tu ile MARA CLARA nadhani ndo series ya kifilipino niliyoipenda kuliko zote
Daah mwanangu Mara Clara wale mapacha

Mmoja alipatwa na tatizo la ngozi

Kama sikosei hawakuwa wanapatana more often ila baadae mwishoni kabisa yule mmoja aliyekuwa na baka la uso akafanyiwa surgery.. Then uhasama ukaishia it was so emotional yule mmoja alivyo pona

Nahisi sikuifatilia vizuri! Hebu nikumbishe story line yake japo kwa ufupi
 
Back
Top Bottom