Nani anaikumbuka THE PROMISE?

Nani anaikumbuka THE PROMISE?

TVT au TBC maana wengine tunaikumbuka ya kwanza hapo, nikikuambuka kwa karibu kulikuwa na Jini kabula ila Kuna nyingi tu nyuma nimezi Sahau majina. Wakina kanumba na Johari.. Kina doctor cheni... Mzee magari, na wengineo
Tbc
 
Isidingo nimeanza kuangalia Ubongo kibangu mwaka 1999

Kwa mwanajeshi mmja anaitwa Joker.! Muuza Gongo

Vile we sip while watching

Nikitoka hapo naenda kwa 'Mwankemwa' naagiza ubongo wa ng'ombe wa kukaanga imeisha hiyo
 
Basi wewe ni recent sana
Wala ila mm hivyo vitu sio vitu vyangu nilikuwa naona ndugu zangu wana fwatilia mm mizengwe ndio nilikuwa na fwatilia sasa ni juma pili saa tat af huo mda natikwa niwe nimelala kesho shule pale ndio tulikuwa tuna gombana sana na wazeee
 
Mimi mizengwe ndo ulikuwa hunitoi kabisa yule jamaa wakujiita mkwere pamoja na combination ya muhogo Mchungu waliniacha hoi sana.
 
Back
Top Bottom