The promise chini ya Angelo...ni dunia nyingine...ni kama vile unasoma vitabu vya Hussein Issa Tuwa....Mkimbizi,Mfadhili...n.k....Ukitaka kwenda kula...unahofia mtu ataficha kitabu ama kiaazimwa...Hilo dude +254 walilisuka mamaé ila ikawa ndefu mpaka ikapoteza mvuto
Wafilipino niliwapendea tamthilia zao kadiri inavyokaribia kuisha ndio inazidi kunoga kama Wamexico
THE PASSION nayo ilikuwa poa sana
Sana wakina mzee smallMimi mizengwe ndo ulikuwa hunitoi kabisa yule jamaa wakujiita mkwere pamoja na combination ya muhogo Mchungu waliniacha hoi sana.
Wakenya, kulikuwa na mganga maarufu Kalumanzila ametajwa sana hapa Bongo, mzee Kasri, bila kumsahau binti LindaTausi nahisi ziko nyingi hiyo ilikuwa ya kina nani? Na ni ya miaka hiyo au unasemea hizi mpya?
Mimi ni GEN Z.We millennials wa wapi mwenetu? Millennials tunafahamiana.
The Promise ndio tamthilia ya kwanza ya Kifilipino kupata umaarufu mkubwa hapa TanzaniaThe promise chini ya Angelo...ni dunia nyingine...ni kama vile unasoma vitabu vya Hussein Issa Tuwa....Mkimbizi,Mfadhili...n.k....Ukitaka kwenda kula...unahofia mtu ataficha kitabu ama kiaazimwa...
Wewe mzee upo?Mimi ni GEN Z.
Heshima yako 😆💔🤣🤣😭😭😭😭😭
Nipo mjukuu wangu 😭😭
Marhaba mjukuu wangu 😭Heshima yako 😆💔
Au ndio uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu babe
Tausi ndege wangalu, ndege wangu wa fahari kale ka wimboNaongelea ile tausi ya mwaka 1999 kabla hujazaliwa
Oyaa mkuu naipataje tena Daah huwa hao characters nawawaza sana ila ku re-watch kipengeleThe promise chini ya Angelo...ni dunia nyingine...ni kama vile unasoma vitabu vya Hussein Issa Tuwa....Mkimbizi,Mfadhili...n.k....Ukitaka kwenda kula...unahofia mtu ataficha kitabu ama kiaazimwa...
HIvi THE PASSION ilikuwa ipi hiyo ni kama jina nalikumbuka sema na changanya charactersHilo dude +254 walilisuka mamaé ila ikawa ndefu mpaka ikapoteza mvuto
Wafilipino niliwapendea tamthilia zao kadiri inavyokaribia kuisha ndio inazidi kunoga kama Wamexico
THE PASSION nayo ilikuwa poa sana
Oyaa mkuu naipataje tena Daah huwa hao characters nawawaza sana ila ku re-watch kipengele