umetumwa kumpigia debe lowasa nini....yatakushinda.Mwamba wa kaskazini- lowasa
kiboko ya nape- lowasa
kiboko ya ccm-lowasa
ticket ya cdm to magogoni- lowasa
na hakuna wakumping huyu ndani ya ccm.
umetumwa kumpigia debe lowasa nini....yatakushinda.Mwamba wa kaskazini- lowasa
kiboko ya nape- lowasa
kiboko ya ccm-lowasa
ticket ya cdm to magogoni- lowasa
na hakuna wakumping huyu ndani ya ccm.
[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki
WanaJF,
Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.
lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.
Usisahau kuja kumpigia kura raisi wako
Chama
Gongo la mboto DSM
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.
lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.
Wapendwa
Sina ukaribu wowote na Mhe. Lowassa na wala hanifahamu. Sina nia ya kumpamba wala kumsifia. Ninaomba nitoe maoni yangu juu ya huyu Bwana.
Ukweli
1. Ndani ya CCM, hakuna mtu mwenye nguvu na mvuto wa ajabu sana kama Mhe. Lowassa
2. Mhe. Lowassa baada ya kuachia Uwaziri Mkuu amekuwa humble and down to earth, huwezi hata kuamini.;
3. Mhe. Lowassa anachagua sana maneno na sehemu ya kuongea, ni tofauti sana na viongozi wengi tunaowajua
4. Mhe. Lowassa kama akibahatika kuwa Rais 2015, anaweza kuwa Rais mzuri sana na anaweza kufanya makubwa kwa watanzania
5. Wengi tunasema Mhe. Lowassa ni fisadi.....pengine kuna ukweli....., swali langu: Hivi ni nani Nchi hii katika viongozi wote tulionao ambaye for sure waweza sema ni MSAFI? Wanadamu tuna ufisadi kuanzia kwenye NDOA zetu, mali za UMMA, Makanisani, Misikitini n.k
Hitimisho:
Nionavyo mimi, CDM watapata wabunge (binafsi nitagombea kupitia CDM na ninaweza kuwa mmoja wapo)na madiwani wengi, ila Rais twaweza shindwa. Kupitia CCM, Mhe. Lowassa hana mshindani........Watu kama Mhe. Magufuli, japo naye aweza kuwa Rais mzuri akipunguza jazba na kutaka misifa.......hawana nafasi ndani ya CCM.....
Hayo ni mawazo yangu, naomba maoni yenu.............
duu,nchi ya kifalme!Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.
lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.
Rais awe yeyote atakaekidhi vigezo vya nafasi hiyo isipokwa asitokee CCM,vinginevyo haya malalamishi na uchambuzi wa siasa zisizo na mwisho utaendelea maradufu ya sasa.Napenda waongoze wengine kutoka vyama vingine,waje na visirani na uchu wa kuwaadhibu kisheria watapanya mali za taifa.Ni mtazamo tu.