Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

wanabodi hii ndio top five yangu ya majina ya wagombea watakaochuana ili kupata majina matatu yatakayotupa jina moja kwenye vikao vya mwisho vya chama.

TOP FIVE YENYEWE NDIO HII

1: EDWARD NGOYAI LOWASA

2: AGUSTINO RAMADHANI ( MCHUNGAJI)

3:BENARD MEMBE( KACHERO MBOBEZI)


4: MWIGULU MCHEMBA

5: JANUARY MAKAMBA



tusubiri tuonee


  • professor. mark mwandosya
  • dr. john magufuli
  • rtd judge. augustino ramadhan
  • professor. sospeter muhongo
  • makongoro nyerere / asha rose migiro

nb. 85% hadi 95% mgombea atakayepitishwa kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ni professor. mark mwandosya na vitu gani vinampa chapuo?


  • sasa ni zamu ya watu wa nyanda za juu kusini kutoa rais hapa namaanisha upande wote wa magharibi mwa tanzania haswa mikoa ya kuanzia kigoma, rukwa, iringa, mbeya na katavi na tusisahau kuwa karibu maeneo makubwa ya kijiografia matatu yaliyobaki yameshatutolea marais ikiwemo mikoa ya kaskazini ( hayati baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere, mikoa ya kusini rais mstaafu benjamini mkapa na mikoa ya mashariki rais aliyepo madarakani sasa jakaya kikwete.
  • hana makundi na si mtu mwenye kueneza siasa za makundi.
  • ana busara na hekima zote zinazotakiwa kwa kiongozi kama head of state.
  • sasa ni zamu ya mkristo tena wa dhehebu lake la papa francis ambalo ndilo kubwa na lina influence kubwa sana hapa nchini ktk maamuzi yanayoihusisha hata serikali ila huwezi ukaliona hivi hivi mapaka uwe na macho ya ziada.
  • na hata tu kule kupewa kwake uwaziri usio na wizara maalum ulikuwa ni mkakati wa umakini sana uliofanywa ili kumfanya asiwe ama asihusishwe ktk kashfa za aina zozote ambazo zingeweza kumuharibia kama wenzake wengine.

ni mtazamo wangu tu but i stand to be corrected pia.
 
Wasalaam. .

Swali langu tutampata wapi Kiongozi shupavu atakae tuvusha na kutufikisha Nchi ya Ahadi? Nchi ambayo ukikamtwa na polisi haulizwi ww ni mtoto wa nani, Nchi ambayo ukienda mahakamani unapata haki yako bila kuinunua, Nchi ambayo ukisaidia upelelezi unapewa ulinzi na Polisi asimwambie yule uliyekuwa unampeleleza, Nchi ambayo watu wenye elimu sawa na fani sawa watalipwa sawa So longer as wote wanafanya kazi Serikalini, Nchi ambayo ikiweka mikakati inaitekeleza kikamilifu, Nchi ambayo Tume inatoa majibu baada ya uchunguzi wa Jambo fulani, Duh Mwenyezi Mungu tuonyeshe kiongozi wa Namna hiyo
Bila kujali itikadi ya Chama, Dini Wala Kabila..

Wasalaam. .
 
Tuunge mkono katika harakatizetu za kupambana na lile genge la majambazi ili tumpate mtu sahihi kwa maslai ya watanzania masikini sio mabepali
 
Comred Kinana anafaa kua Rais wa nchi hii,ana sifa za Rais anayehitajika kwa sasa katika nchi yetu..CCM mko wapi kumshawishi mtu huyu?
 
Ni nani kati ya hawa wawili utampigia kura ya kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
1. Lowassa
2. Magufuli
 
Back
Top Bottom