Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Asa mm Rais asiependa utajiri wa nn???Yaani mm nataka prezzo type ya Uhuru Kenyatta Ivi
 
Ungekuwa umezima simu yako ukalala ungekuwa umefanya jambo zuri na bora zaid kuliko kupoteza usingizi na muda wako kwa kupost madudu kama haya.
 
Ungekuwa umezima simu yako ukalala ungekuwa umefanya jambo zuri na bora zaid kuliko kupoteza usingizi na muda wako kwa kupost madudu kama haya.

mtoa mada kasema maneno ya maana kuongoza tamisemi si sawa na kuongoza wafanyakazi wa bar watanzania tufikilie mara mia tuamue mara moja
 
ili Tz isikalike kwa vita, chuki, uhuni na kuporomoka kwa maadili pamoja na uchumi duni kuendelea, watu kuishi kwa matabaka na ubabe ni pinda ama lowassa awe rais.
 
kati ya watu hao ni lowasa na pinda kwa sababu gani ni wazoefu katika wizara za serikali za mitaa.
Kuiongoza tamisemi ni kazi kubwa sana ni serikali na wananchi wa nchi nzima ya tanzania.
Lakini hawa wote hawana uzoefu kuongoza serikali wakiingia miaka 5 atajifunza miaka 5 inayofuatia ndio ataanza kazi.
Sasa nawauliza watanzania tutachakua mtu wa kujifunza au wa kuanza kazi moja kwa moja.
Hitimisho: Lowasa ni mtu mchapakazi mzuri ila anamagenge ya kifisadi.
Pinda ni mtu safi kabisa hana tatizo mchapa kazi na asiependa utajiri mpaka leo ni mfuga nyuki na mkulima.

Nawashauri watanzania pinda ndio chaguo sahihi

wote hawa sio aina ya rais unaemuitaji kwa sasa wala awawezi kuisaidia ccm
 
ili tz isikalike kwa vita, chuki, uhuni na kuporomoka kwa maadili pamoja na uchumi duni kuendelea, watu kuishi kwa matabaka na ubabe ni pinda ama lowassa awe rais.

1,pinda ni zaifu sanatena sana ,wala hatakiwi na hakuna mtanzania wa kumpigia kura labda kama ccm anasindikiza mwaka huu.
2,lowasa,anapenda chiki, visasi, hana maadili na mpenda mitandao ya wezi, mpenda matabaka, na ubabe usio na maana ,hafai hata kidogo

wote hawa ni anguko la ccm mwaka huu
 
mtoa mada kasema maneno ya maana kuongoza tamisemi si sawa na kuongoza wafanyakazi wa bar watanzania tufikilie mara mia tuamue mara moja

tufikilia kitu gania hapo,hata kama mnatumiwa basi nyesha hata kidogo kuwa mumeenda shule
 
Ni bora Lowassa awe na rais ili tusiompenda tutafutiwe uhamisho wa kuishi utumwani mpaka siku akifa ndo turudishwe Tz
 
wanabodi hii ndio top five yangu ya majina ya wagombea watakaochuana ili kupata majina matatu yatakayotupa jina moja kwenye vikao vya mwisho vya chama.

TOP FIVE YENYEWE NDIO HII

1: EDWARD NGOYAI LOWASA

2: AGUSTINO RAMADHANI ( MCHUNGAJI)

3:BENARD MEMBE( KACHERO MBOBEZI)


4: MWIGULU MCHEMBA

5: JANUARY MAKAMBA



tusubiri tuonee
 
Ningekua mhindi, ningetumia hii fursa maana watu kila siku wanatundika mikeka wagombea top 5
 
Ni matamanio yako tu, Hebu angalia uhalisia hapa..

1.John Magufuli
2.Mark Mwandosya
3.Makongoro Nyerere
4.Agustino Ramadhani
4.Asha Rose Migiro

BACK TANGANYIKA
 
wanabodi hii ndio top five yangu ya majina ya wagombea watakaochuana ili kupata majina matatu yatakayotupa jina moja kwenye vikao vya mwisho vya chama.

TOP FIVE YENYEWE NDIO HII

1: EDWARD NGOYAI LOWASA

2: AGUSTINO RAMADHANI ( MCHUNGAJI)

3:BENARD MEMBE( KACHERO MBOBEZI)


4: MWIGULU MCHEMBA

5: JANUARY MAKAMBA



tusubiri tuonee

Umechemka vibaya hapo labda nikusaidie Membe na huyo mchungaji ndio watakao fika top 5 top 3 Membe, Makongoro, Magufuli.
 
Hii nchi inahitaji maombi, sasa hapo huyo aliyeongoza kwenye list umemuweka wa nini?

Huyo ni kama kisanduku cheusi cha kwenye ndege...kila ndege inacho. Mtapiga kona, mtapiga chenga, mtapiga faulo, mtapiga mashuti japo mtapiga mashuzi huyo mnae.
 
Back
Top Bottom