Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

duh mzee wa maamuzi magumu hata yesu alikataliwa na wayahudi jiwe walilokataa limekuwa jiwe kuu la pembeni VIVA ENL
 
Magufuli anatosha sana na makudi pia si mbabaishaji kama lowasa na lowasa ndiyo wameivurunga ccm kwa mpingo yao mimbovu na leo analalamika au kwasababu anataka sifa kuwa raisi
 
Lowasa ni mtu wa visasi na ndo maana hapo alipo amefurah sana anataka uongozi haraka haraka ili akalipize.yani magufuli ikulu mtindo mmoja.
 
Nitampigia Diwani wa Capri Point, Ezekia Dibogo Wenje kama Mbunge wangu wa Nyamagana, Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa JMT.

Wewe utampigia nani ? Kwasababu gani?
 
Nikimpigia lowasa nitaishi na "guilty conscious" nikijua tanzania inaenda kugeuka kopo kwa gharama ya kubadili jina la chama...ni heri nisipige kura
 
Lowasa. Maana ni kama mdhambi aliyetubu na anaichukia dhambi kwa dhati baada ya kuachana na genge la wahuni, anajua mbinu zote za kuenenda kinyume na genge la wahuni wa ccm wakivokuwa wanafanya. LOWASSA, maana yupo kati ya wenye nia njema. Nampa lowassa
 
Back
Top Bottom