Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Hii inatisha! Mimi nilikuwa siamini kama Watanzania tuna ubaguzi wa sampuli hii,Ba hili iliwahi kuwa na Mawaziri wenye asili ya Kizungu, Kihindi, Kikuyu nk Why pick on KINANA?

Tunacho taka Watanzania hivi sasa ni Rais ambaye hana vikundi, hapendi kulipiza visasi, hana njaa kali, hana udini/ukabila au kujaza jaza marafiki na washikaji kwenye keyposts mwishowe Taifa linajikuta lime-create Urasimu wa kutisha; mwisho nadhani hilo ndilo lingekuwa la kwanza - tunataka Rais mwenye uwezo wa kuongoza bila ya woga wa kuogopa lawama. Binafsi naona Ndugu Kinana traits hizo anazo sana akifuatiwa na Mzalendo LAMECK.
Bado unafanya kazi za ndani kwa Mwigulu?
 
kinana ni mchafu. Jk kasema kwenye miaka 38 ya ccm kwamba raisi atakayekuja lazima hawe na sifa hizi ( lazima tujifunze kusikiliza na kupambanua)

1- lazima hawe msafi
2-hana makundi
3-hanakijua chama vizuri,
4- hanakubalika tanzania na nje ya tanzania. Hanaweza kuwa balozi.....
5- mchapa kazi
6- tanzania haina dini hila kwa jinsi hilivyo sasa mgombea lazima hawe mkirsto hatapata support kubwa kuliko kutoka upande wa pili...
7- watu hawatakuwa na uwalaki na mgombea

na kazarika....

kiswahili kinazidi kupanuka, shikamoo kaka.
 
inasemekana sasa CCM wameona mtu pekee atakae iokoa CCM ni Kinana.sababu kubwa ni kwamba amezunguka nchi nzima na watu wangi wamefurahia harakati zake za kuifufua CCM. Kinana akiwa Rais chama kitazidi kuimarika. Pia inasemekana kinana ndio mtu pekee JK amekua akimuandaa nje ya mfumo wa Serikali ili asiwe na makundi ambayo yamekua mwiba kwa chama.stay tuned

Kinana akiwa raisi tembo tutakuwa tunawaangalia kwenye picha lakini nani atampa kura huyu jangili bora mzalendo wetu Dr.Slaa
 
Chagga Development Manifesto(CHADEMA) for 2015 presidency,IKULU Ihamie KISHUMUNDU amma TENGERU.
 
Tutaskia Wengi sana wakiutaka huo uraisi.....kesho utaskia Nape pia anataka
 
Chagga Development Manifesto(CHADEMA) for 2015 presidency,IKULU Ihamie KISHUMUNDU amma TENGERU.
 
embu tujaribu kumjua raisi tunaye mtaka kwa kujibu swali hili kwa mtazamo binafsi?..

kwa mfano ukipewa uraisi TANZANIA, utaboresha kipi na kwa staili gani kama njia ya kukuza uchumi wa TANZANIA kwa mda mfupi...?...

mnakaribishwa,..
jaribu kuongea kama RAISI tayari ilitupate picha kamili..
 
Kwa jinsi ulivyo inaonekana hata tukikueleza hutaeleawa.Hivi Bado mpaka leo hujui Tanzania inataka raisi wa namna gani?
 
ELIMU YA VIONGOZI WA MATAIFA 5 TAJIRI DUNIANI
1. USA: GDP- US$ 17 billion BA, J.D (yaani Doctor of Law), Harvard
2. CHINA: GDP-US$ 10 billion President: BSc Chemical Engineering, LLD; Prime Minister: PhD Economics
3. JAPAN: GDP US$ 4.8 billion BA, MA (Univ South California)
4.. GERMANY: GDP US$ 3,8 billion Dr.rer.nat. (Quantum Chemistry)
5. UK: US$ 2,9 billion BA, MA Oxford
Watanzania tujifunze - Nch hizI tajiri hazikufanya makosa kuchagua wataalamu.
 
ELIMU YA VIONGOZI WA MATAIFA 5 TAJIRI DUNIANI
1. USA: GDP- US$ 17 billion BA, J.D (yaani Doctor of Law), Harvard
2. CHINA: GDP-US$ 10 billion President: BSc Chemical Engineering, LLD; Prime Minister: PhD Economics
3. JAPAN: GDP US$ 4.8 billion BA, MA (Univ South California)
4.. GERMANY: GDP US$ 3,8 billion Dr.rer.nat. (Quantum Chemistry)
5. UK: US$ 2,9 billion BA, MA Oxford
Watanzania tujifunze - Nch hizI tajiri hazikufanya makosa kuchagua wataalamu.

Hapa kwetu anayeendana na hiyo elimu ni.muhongo tu
 
Back
Top Bottom