Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Mwalimu anatabia tofauti na binadamu yoyote duniani.

Habari za leo mabibi na mabwana!

Bila shaka pasaka imeenda sawa.

Mwalimu kama alivyokuwa rais nyerere" ingependeza na mtu ambae ni mwalimu alieiva katika fani ya ualimu anatufaa kushika nafasi itakayoachwa wazi na Prof. Jakaya.

Kwa namna dunia ilivyo na utandawazi, mahitajio ya nchi na actors wengine ambao lazima ukubaliane nao atahitajika mwalim ambae atajua hatakuwa na mlengo kushoto au kulia ili mambo yaende.

Game au mchezo utaotakiwa uchezwe katika jumuiya ya kimataifa unahitaji mtu ambae ataweza kuishi maisha yake na ya watu wengine(nchi) mbalimbali duniani.

Si kwamba watu wa kada zingine wasingefaa urais lakini kwa namna nchi ilivyojeruhiwa na madeni umaskini na mali zetu na mataifa makubwa yanavyozikodolea macho, hatatakiwa mtu yoyt awe kiongozi wa nchi hii.


Kwa sasa, tunaelekea sehemu isiyofaa kitanzania, tuna migogoro ya ndani na mahitaji yanayotaka hekima busara, kwa wingi. Vita na migogoro vinainyemelea nchi hii. Watu achilia mbali umasikini wetu, udini,ukanda, imadaraka vitatuonjesha vita, ambapo wenzetu kama nigeria wameonja mapigano, na sasa wamerejelea democrasia.

Wasomali si swala la kubeza, wanzanz wanakitu moyoni.

Rais akiwa mwalimu upo uwezekano kwa namna walimu wanavyovumilia atajua namna ya kula na makundi mbalimbali.

Nahisi pia mwalimu atakumbuka masikini mwenzake, kama alivyofanya babu Nyerere. Hakuwa mtu wa mabinti, mwl hakuwa mtu wa anasa. Hali ya walimu wa Tanzania ni kwamba ni tofauti na wanavyochukuliwa, wanadunduliza na maisha yanaenda,

muelewe kwamba mwl anajua kutafakari namna sahihi kusimamia sera na dira. Atoke chama chochote, sipendekezi ccm, wa chadema pia ikiwa mtu wa ukawa ni bora zaidi. Ccm ataongozwa na chama chake, atakuwa ceremonial, si busara rais kufata matakwa ya kundi flan ndani ya chama.

Inafaa sana mwenyekiti wa chama awe mtu akiwa rais aseme na wengine wafate.

Chama sio kikubwa kuliko nchi, na mwenyekiti hawezi kuwa na haifai akawa mdogo kuliko chama, atakosa maamuzi. Mwenyekiti mbali na irani awe mtu wa kuamua. Plato aliita philosopher king.


Jf Mods kitendo cha kuleta na kuupachika uzi huu hapa sijapenda kabisa. Huu sio uungwana
 
Wakuu salama,

Sasa ni wazi uhakika wa Lowassa kuingia Ikulu ni mkubwa sana. Pamoja na mambo mengine hili linathibitishwa na tafiti mbali mbali likiwemo la Economic Intelligence Unit (EIU) ya Nchini Uingereza.....

Taasisi ya EIU katika utafiti na ripoti iliyotolewa tarehe 14.01.2015 walisema Muhammadu Buhari angeshinda katika uchaguzi mkuu wa Nchini Nigeria, na kama tunavyojua siku mbili zilizopita Buhari alitangazwa mshindi wa kiti cha urais wa nchi hiyo.... Kilichonivutia katika utafiti huo wa EIU ni kwamba Buhari ilionyeshwa atashinda kwa asilimia 54% dhidi ya mpinzani wake Rais Jonathan, na matokeo halisi yamempa ushindi Buhari kwa asilimia 53.95%, with only 0.5 error... Its really amazing.......

Ni taasisi hii hii ya EIU ya Uingereza mnamo tarehe 20.12.2014 walitoa ripoti kwamba Ndugu Lowassa ndiyo mwanansiasa anayekubalika zaidi ndani ya CCM na nje ya chama chake. Ndani ya chama chake utafiti huo ulisema Lowassa anakubalika kwa zaidi ya asilimia 80%, na nje ya chama chake anakubalika kwa zaidi ya asilimia 69.8%.. (Was reported, Mwananchi, Mtanzania 21.12.2014)...

Economic Inteligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo na maswala ya uchaguzi....

Tarehe 26.11.2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa Nchini Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008 (primaries). Matokeo nafkiri tunayakumbuka!....

Tarehe 14.10.2012, kitengo/taasisi hiyo kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayakumbuka....

Tarehe 24.10.2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti ya utafiti wake kuhusu uchaguzi wa Nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff alitabiriwa kuibuka mshindi kwa kishindo, matokeo nadhani tunayakumbuka!.....

Mytake: Chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi.. 2002 nchini Kenya chama cha KANU kilitupilia mbali maoni ya wananchi. 2010 chama tawala Zambia ilibeza maoni ya umma. 2014 chama tawala Malawi ilibeza maoni ya wananchi. Na wiki chache zilizopita Nigeria ilibeza maoni ya wananchi....

Watanzania wenzangu, sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapopata pigo takatifu....

Huu ni utafiti wa 4 mfululizo unaowagusa wananchi moja kwa moja. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikiliza sauti za wananchi... Kura za maoni ni sauti za wananchi......

Asante......
Ocampo four.....
Margin of error ni 0.05. Ngoja nitembelee wavuti ya hiyo taasisi nione tafiti zake.
 
Katika Afrika taasisi ya urais ni taasisi inayoitaji mtu na sio chama,kumekuwepo na kasumba aswa kwa matifa ya Afrika inapofika wakati wa uchanguzi wengi tumekuwa tukifanya makosa ya kuchagua chama pasipo kupima uwezo wa mtu anaepeperusha bendera ya chama hicho anasifa zipi ambazo tunaweza kuzipima kwa macho yetu kwa yale aliyoyafanya maana hatutegemei katika miaka/umri 41 na zaidi hakuna kitu ulichokifanya kwa taifa hili halafu uje leo unataka urais mwisho wa siku tumekuwa tukibadirisha vyama tu pasipo kupata like tunachokiitaji.

Nayaona haya kwa sababu hakuna mahali popote historia ya dunia hii inasema chama furani cha siasa kilileta mabadiliko bali histori imetaja watu ambao wamefanya mambo matumbwa ya kukumbukwa duniani kwa fikra zao, uwezo waona dira za uzalendo wao, kwa sababu viongozi n awanasiasa wengi wa afrika ni wachumia tubo, waongo,wataka kutukuzwa pasipo kutumikia wanachi na vibaraka wa wazungu na ndo maana hata baadhi ya taasisi utoa tuzo kwa michango yao wala sio vyama. kwa hayo inanipelekea kuwa muumini wa( WE NEED A PERSON) kwamba philosophy na vision za mtu ndo zitatupeleka kwenye nchi ya neema japokuwa atatokea kwenye chama lkn yeye mwenyewe kwanza pamoja nasi kufanya kazi.

baada ya hayo nataja mambo amboyo mimi binafsi naona Rais ajaye anafaa kuwa nayo pasipo kujari ni yupi na anatoka chama gani au ni mgombea binafsi.

a, Awe na uelewa wa mambo kiasi kwamba mawazo machafu ya watu wenye nia mbaya
yasimyumbishe katika maamuzi.
b, Awe MTENDAJI/MCHPAKAZI KAZI HODARI na apimwe kwa aliyoyafanya kwa taifa hili.
c, Uwezo wa kufanya maamuzi magumu lakini yenye tija kwa wanyonge.
d, pamoja na mapungufu ya kibinadamu hasiwe muumini wa ufisadi/RUSHWA.
E, Awe mwenye kujiamini anapofanya maamuzi ya kisheria.
f, Asiye penda urafikirafiki na undungu maana ikulu atajaza wakezake dadazake na ngungu .
g Awe na msimamo na asiwe na fikra za kujikomba kwa wazungu pasipo na faida kwetu masikini.

Zipo nyingi lkn kwa hizo chache naomba niwataje wale ninaona wanafaa kwenda ikulu si kwa siasa chafu na uongouongo wa wanasiasa wa afrika bali kwa uwezo wao.

1, JAMES MBATIA.
2, DR MWAKYEMBE.
3, DR MAGUFURI.
4, FLIMON MBOWE.
5, AUGUSTINO RAMADHANI.
6, kidogo sn tena sn LOWASA.

Je wanajf kati yao ni yupi unaona anafaa kwa sifa hizo,
 
KATIKA SIFA ZA UCHAPA KAZI UADILIFU, UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YENYE TIJA,KUTOPENDA RUSHWA NA UTENDAJI UNAOPIMIKA KWA MACHO SIO SIASA ZA UONGOUONGO ZILIZOWAJAA WANASIASA WA AFRIKA AMBAO KWA MIAKA MINGI WAMEKUWA WONGO PASIPO KUWA NA NIA YA DHATI KWA WAAFRIKA MASIKINI BADARA YAKE,BADARA YAKE WANATENGENEZA MITANDAO NA WAZUNGU NA BAADAE KUWA VIBARAKA WAO.

WAFUATAO KWANGU BINAFUSI WANASIFA ZA KUWA MRI JESHI KUU 2015.

1, JEMSI MBATIA
2 DR, MWAKYEMBYE
3 DR, MAGUFU (MAALUFU JEMBE)
4 FILIMON MBEWE
5, AGUSTINO RAMADHANI
Je mwana jf kati ya awa nani anafaa kupewa bedera ya ikulu kwa uwezo wake na uelewa wa mambo pasipo kufuata siasa za majukwaani zisizo na tija kwa masikini wa taifa hiki maana nianaamini ukombozi wa taifa hili utaletwa na mtu kwa PHILOSOPHY NA MAONA ailyonayo sio vyama vya siasa ( WE NEED A PERSON).
 
katika afrika taasisi ya urais ni taasisi inayoitaji mtu na sio chama,kumekuwepo na kasumba aswa kwa matifa ya afrika inapofika wakati wa uchanguzi wengi tumekuwa tukifanya makosa ya kuchagua chama pasipo kupima uwezo wa mtu anaepeperusha bendera ya chama hicho anasifa zipi ambazo tunaweza kuzipima kwa macho yetu kwa yale aliyoyafanya maana hatutegemei katika miaka/umri 41 na zaidi hakuna kitu ulichokifanya kwa taifa hili halafu uje leo unataka urais mwisho wa siku tumekuwa tukibadirisha vyama tu pasipo kupata like tunachokiitaji.
Nayaona haya kwa sababu hakuna mahali popote historia ya dunia hii inasema chama furani cha siasa kilileta mabadiliko bali histori imetaja watu ambao wamefanya mambo matumbwa ya kukumbukwa duniani kwa fikra zao, uwezo waona dira za uzalendo wao, kwa sababu viongozi n awanasiasa wengi wa afrika ni wachumia tubo, waongo,wataka kutukuzwa pasipo kutumikia wanachi na vibaraka wa wazungu na ndo maana hata baadhi ya taasisi utoa tuzo kwa michango yao wala sio vyama. Kwa hayo inanipelekea kuwa muumini wa( we need a person) kwamba philosophy na vision za mtu ndo zitatupeleka kwenye nchi ya neema japokuwa atatokea kwenye chama lkn yeye mwenyewe kwanza pamoja nasi kufanya kazi.

Baada ya hayo nataja mambo amboyo mimi binafsi naona rais ajaye anafaa kuwa nayo pasipo kujari ni yupi na anatoka chama gani au ni mgombea binafsi.

A, awe na uelewa wa mambo kiasi kwamba mawazo machafu ya watu wenye nia mbaya
yasimyumbishe katika maamuzi.
B, awe mtendaji/mchpakazi kazi hodari na apimwe kwa aliyoyafanya kwa taifa hili.
C, uwezo wa kufanya maamuzi magumu lakini yenye tija kwa wanyonge.
D, pamoja na mapungufu ya kibinadamu hasiwe muumini wa ufisadi/rushwa.
E, awe mwenye kujiamini anapofanya maamuzi ya kisheria.
F, asiye penda urafikirafiki na undungu maana ikulu atajaza wakezake dadazake na ngungu .
G awe na msimamo na asiwe na fikra za kujikomba kwa wazungu pasipo na faida kwetu masikini.

Zipo nyingi lkn kwa hizo chache naomba niwataje wale ninaona wanafaa kwenda ikulu si kwa siasa chafu na uongouongo wa wanasiasa wa afrika bali kwa uwezo wao.

1, james mbatia.
2, dr mwakyembe.
3, dr magufuri.
4, flimon mbowe.
5, augustino ramadhani.
6, kidogo sn tena sn lowasa.

Je wanajf kati yao ni yupi unaona anafaa kwa sifa hizo,


Wote hawafai: Rais ni Dr. W.P.Slaa, kama hutaki acha.
 
wakuu tumbiane hapa kwa mawazo yako binafsi nani anafaha kuwa rais wako mpya? na kwa vigezo gani? mimi kwanza namchagua DR.SILAA. wewe mwana JF mwenzangu unamtaka nani?
 
wakuu tumbiane hapa kwa mawazo yako binafsi nani anafaha kuwa rais wako mpya? na kwa vigezo gani? mimi kwanza namchagua DR.SILAA. wewe mwana JF mwenzangu unamtaka nani?

Weka na vigezo vya huyo ulie mchagua
 
Back
Top Bottom