Wakuu samahani, naomba kuuliza hili kwa lengo la kujua na kuwapima hawa watu wawili. Hivi kama Dk Slaa akipitishwa na UKAWA kuwa mgombea na Mkamba akipitishwa na CCM kuwa mgombea wa urais, hivi wewe kama wewe utamchagua nani kuwa rais na kwanini?
Dr. Slaa, he is a truly leader. Huyu mwengine ni kwa sababu amekutwa hapo, anajaribu kijitutumua, otherwise he has a long way to get there.


