mangaukawa
Senior Member
- Dec 5, 2014
- 153
- 63
Ila kwa kulinganisha hakika Ngeleja anafaa kuliko hao wengine waliojitokeza. Angalia jinsi alivyosimamia kampuni za madini kuanza kulipa kodi ya mapato ya asilimia 30. Kabla hajachukua hatua hiyo kampuni kama Geita Gold na Tulawaka zilikuwa zinalipa peanuts. Pia ndiye aliyeifufua STAMICO, ambayo ilikuwa imeorodheshwa kufutwa. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni bana.