Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Anakuwa mbunge wa Mahakama kwa miaka mitano,
Hapo yy anakuwa amepata faida kuliko ww wala chadema
Kwanza unajuwa ana kesi za jinai ngapi mahakamani? Akiongezewa na hii ya kugushi si jela hiyo?

Hivi mnadhani kina Kibatala pale Chadema kazi yao ni nini?
 
Anakuwa mbunge wa Mahakama kwa miaka mitano,
Hapo yy anakuwa amepata faida kuliko ww wala chadema
Sawa hilo ni la kwake..hata akiwa mbunge wa kudumu wa mahakama na Ndugai hadi astaàfu atajua mwenyewe, cha msingi sisi TUMESHAMTIMUA.
 
Kuna mmama aligombea jimbo na mkurugenzi aliyekuwa Dom huko Moro sijui ni Mlimba au nini yuko poa yule kuongoza
 
Susan Kiwanga atosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…