Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.

Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover
Alikimbia kijinga sana.
Anakimbia straight, jamaa angetoa kichwa na kumuona angemmaliza
 
nina uhakika polisi waliokuwa pale walikuwa hawamwelewi kwa ishara wao ni kupigapiga risasi ovyooovyoo
 
Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.

He did what he did, hongera kwake!
n mjinga hata kwenye movie sijawahi ona hii kitu

movie utaona kajificha kwenye kimeza au kitu cyo kama hilo jinga
 
Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.

Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover😅
Wabongo kwa uchambuzi tuko vizuri. Vita za mdomoni tunashinda asubuhi tu.

LIVE ndio zero kabisa
 
Ha ha mkuu Inaonesha wewe ni mwalimu wa Kingereza
 
He is the Nation Hero. He did what a true soldier expected to do
hakuna hero hapo mzee,
he was like 3 meters from him, and hakuonwa,
ka shoot mara 3 kama sio 4, na alikua na bastola, na bado kamduku,

hadi anapigwa yeye kizembe sana,
af cheki askali wa4 wapo upande wa kwenye rami huku,
nabado wakashindwa kumcover mwenzao asidunguliwe na jamaa,
daaaH askari wetu bado sana aisee..

kwa hili, wameonyesha uzembe mkubwa sana ndani ya jeshi la polisi upande wa shabaha,

embu cheki zile sekunde 15, jamaa kajitoa kabisa yupo sehem wazi na risasi zimemwishia,
nabado wakawa wana mkosa kwa sekunde 15 wana piga risasi pembeni,

na ujue sio Askari mmoja,
nizaidi ya askari 14 wana mshambulia Mtu mmoja kwa sekunde 15 nawana mkosa.

IVI ASKARI WETU WANA MAZOEZI ENDELEVU UPANDE WA SHABAHA, KAMA VILE ILIVO JESHINI.?
 
Ndiye aliyemrushia tear gas ndio akatoka kwenye kibanda baada ya kuzidiwa na moshi.
io Tear gas alilusha mda gani mzee baba??

ila kinacho nipa wasiwasi,

nikwa wale wanaosema jamaa sio Gaidi,
ivi jaman,
mtu usie na mafunzo ya utumiaji siraha, unawezaje kutumia vizur siraha kama anavyo tumia brother etu huyu,

na ukicheki anavyo ishika siraha daah, yani kabisa inaonesha anamafunzo, na ana uzoefu nazo izo siraha zote, Bastola na io bunduki kubwa,

Mungu ibariki Tanzania, Mungu Tubariki Watanzania wote..
 
Na kwa shabaha aliyokuwa nayo Hamza huyo askari aushukuru ule ukuta uliomkinga, la sivyo tungekuwa tunasema mengine hapa.

Halafu nimejiuliza:Hamza kawasumbua vile akiwa kwenye eneo la wazi. Je,ingekuwa tuna bifu na Taleban tungeuweza muziki wao?vipi Shaabab,Boko na 'wanyama' ISIS?
 
Umemaliza
 
hilo jamaaa ni lijinga sanaa ....kafa kwa uzembe hata FBI au polisi kokote hawawez fanya hyo mbinu ...yani unapiga risasi km vile hamza ana mawe

We nae si uwe unasoma comments na kuelewa,unaambiwa yupo hai Muhimbili anatibiwa wewe unakurupuka na kejeli zako za “kafa kwa uzembe”.Huwa mna haraka gani ya ku comment?
 
Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.

He did what he did, hongera kwake!

Wanachekesha sana,si ajabu hawa wanaocomment wengine ndiyo waliokuwa wanarecord pale juu ya jengo la KCB huku jasho za kwapa zikiwatoka kwa uwoga
 
Ni kweli mkuu yeye alijitolea ili wenzie waione target kwa urahisi na kushambulia lakini wakafanya chini ya kiwango(jamaa alitoka mara mbili ila akapigwa off target mara kibao) n ibora wangetumia fire and movement palepale kwenye kibanda alipojificha nadhani asingetoboa.
 
mkuu,
inamana pale target walikua hawaioni?
 
Nadhani askari wetu hawajazoea mambo haya ya mapambano, so walijawa na mtero(mawenge/woga) ndo maana walifanya chini ya kiwango ila yote kwa yote tuwashukuru sana mission ilikamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…