Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 244
Hayo matumbo sasaMwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
View attachment 874238View attachment 874236View attachment 874237View attachment 874239
Si kweliWazungu wasingekuja kututawala tungekuwa hivyo mpaka sasa hivi..
Lakini leo sisi ndo tunakuwa wa kwanza kuwatukana
Zimewekwa mkuuPicha za wanawake hakuna?
kumbe woote ni wanaume, basi wewe husemi kweli labda ni vichaa! walizaanaje km wote ni madume km hiviMwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
View attachment 874238View attachment 874236View attachment 874237View attachment 874239
Akili zako ni fupi sana kiasi kwamba huwezi kuelewa baadhi ya hoja hata zikiwa za kawadia soma upya mada kisha jibu tena sio unakurupuka tu kuna wakati sio lazima uweke mahali maoni yakokumbe woote ni wanaume, basi wewe husemi kweli labda ni vichaa! walizaanaje km wote ni madume km hivi
Hata mimi sivai nguo, navaa kondom tu!1. Kuvaa nguo ni matokeo ya dhambi
2. Adam na Eva walijiona wako uchi tuu baada ya kutenda dhambi,hivyo kama hutendi dhambi nguo haina maana yoyote kwako
3. Ona Ndege wenye rangi nzuuri kama tausi,chiriku, ona pundamlia,twiga, mbwa na paka hasa hasa vikizaliwa vikiwa vidogo vinavyovutia wote wale wapo uchi lakini hatujawahi kufikiri kama wapo uchi na tunatamani hata tuwashike, wale hawatendi dhambi na ndio neema ya kukikingwa dhambi ya asili ambayo Babu zetu Adam na Eva waliitenda
4. Wamasai, watindiga na wabarbaigi hawavai nguo lakini wanaishi kwa amani
5. Asili ya waafrika wote walikuwa hawavai nguo na hizi nguo zimeletwa kama tamaduni za waarabu na wazungu waliokuja na dini na kutulazimisha tubebe dini pamoja na mila na desturi zao
6. Huwa ninapinga vikali baadhi ya watu kwa imani zao walizolishwa na wakoloni kuwalazimisha watu wengine wavae watakavyo wao bila kujali yule mtu ana imani tofauti na yeye.