Nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,382
Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.

Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.

Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.

Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
 
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona

Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣
 
Copy halisi?.

Ina maana OG ilikuwa duplicate.
Na duplicate ilibaki?.
Je Ndio hizi tunazoziona? au walianza tena kutafuta wale waandish wa vitabu wasimulie tena upya na watu waandike?.

Je OG ilikuwa na nn cha ziada ambacho za sasa hivi hamna?.
 
injili ni habari njema zinazohusu kuzaliwa kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
 
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona

Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣
kwaiyo injili na torati zilikuwa misri tu??
 
Copy halisi?.

Ina maana OG ilikuwa duplicate.
Na duplicate ilibaki?.
Je Ndio hizi tunazoziona? au walianza tena kutafuta wale waandish wa vitabu wasimulie tena upya na watu waandike?.

Je OG ilikuwa na nn cha ziada ambacho za sasa hivi hamna?.
Mkuu hivi tunavyosoma sasa hivi siyo OG baada yahapo masimulizi yaliendelea pia elewa kuwa zamani masimulizi ndio yalikuwa yanatawala ndio maana bible kjna edition mbali mbali. OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri
 
OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri

Sawa . Ila kabla ya kuchomwa si vilikuwa tayar vimetafsiriwa kwa Lugha nyingne?.

Au hivi vya sasa vimetoka wap?.

Vilivyochomwa vilikuwa vina habar gan tofaut? Ambayo sasa haipo au ipi imeongezwa haikuwepo?.
 
Ndio kwa wakati huo. Vimesambaa kwenye Karne ya 17.

Kuna scipts za bible .
Zilipatikana karibu na mapango .
na bahar ya chumvi.
dead sea scrolls .
Ni mabaki ya Biblia kwa Lugha ya kiebrania na kiajemi.

Na wanasayansi walibaini kuwa ni maandish ya kale sana yapata miaka 2000 iliyopita.

Na yale maandishi hayakuwa na utofaut sana na maandishi ya sasahivi.

Ndio utuambie sasa kama injili na torat imebadilishwa. Nn kilikuwepo na nini hakikuwepo.

Ule ni Ushahidi wa Kisayansi tena sio wa wakristo. Na umethibitisha hakukuwa na mabadiliko makubwa zaid ya kutafsiri kwenda Lugha nyingne.
 
Mkuu hivi tunavyosoma sasa hivi siyo OG baada yahapo masimulizi yaliendelea pia elewa kuwa zamani masimulizi ndio yalikuwa yanatawala ndio maana bible kjna edition mbali mbali. OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri
acha uongo unakanusha hii iliyopo sio original kwasababu inakupinga au??....................yan waarabu wa misri wawe na torati original ichomwe moto ipotee yote afu wayahud na wakristo wasiwe nazo orginal?

unaikataa ii iliyopo kwa kusema nifake na unadaì kuna original na hujawah ioma wala kuisoma na wala hauna et unasema imechomwa moto

na aliyskwambia imwzcjomwa moto naez hajui vilivyoandikwa ndani....kobazi bhn
 
Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona

Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣

Wewe kweli hamnazo! Ni mkristo gani aliwahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu?

Ufahamu kuwa, kwa makanisa yote ya Kikristo, hakuna hata moja ambalo waumini wake wamewahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu. Mafundisho yaliyopo kwa wakristo wote ni kuwa hakukuwahi kuwepo picha ya Yesu, wala ya Musa, wala ya Ibrahim, wala ya mtume yeyote katika wale 12, wala ya Pilato, kwa sababu wakati huo hakukuwa na tekinolojia ya upigaji picha. Picha yoyote ya Yesu, Mitume, Pilato, Musa, Isaka, Bikira Maria, Yosefu, au Ibrahim, au malaika, ni picha za kuelezea tu tukio, lakini siyo picha zinazowakilisha sura au maumbile yao halisia yalivyokuwa. Zinapowekwa hizo picha ni kwaajili tu ya kumtaka mtu atengeneze hisia jinsi ilivyokuwa. Watengenezaji picha wanatengeneza hizo picha kwa kuzingatia tu maelezo yaliyopo kwenye biblia, ni picha tu za kutengenezwa kwa lengo lililokusudiwa, lakini siyo uwakilishi wa sura na maumbile halisia. Hata msalaba tu aliosulibiwa Kristo Yesu, haukuwa na ufanano halisia na hii tunayoiona. Wataalam wa maandiko ya kale wanasema msalaba ulikuwa ni wa miti na siyo mbao zilizorandwa, hata misumari ya wakati huo haikuwa kama hii tunayoitumia leo.
 
Wewe kweli hamnazo! Ni mkristo gani aliwahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu?

Ufahamu kuwa, kwa makanisa yote ya Kikristo, hakuna hata moja ambalo waumini wake wamewahi kuambiwa kuwa hii ndiyo picha ya Yesu. Mafundisho yaliyopo kwa wakristo wote ni kuwa hakukuwahi kuwepo picha ya Yesu, wala ya amusa, wala ya Ibrahim, wala ya mtume yeyote katika wale 12, wala ya Pilato, kwa sababu wakati huo hakukuwa na tekinolojia ya upigaji picha. Picha yoyote ya Yesu, Mitume, Pilato, Musa, Isaka, Bikira Maria, Yosefu, au Ibrahim, au malaika, ni za picha za kuelezea tu tukio, lakini siyo picha zinazowakilisha sura au maumbile yao halisia yalivyokuwa. Zinapowekwa hizo picha ni kwaajili tu ya kumtaka mtu atengeneze hisia jinsi ilivyokuwa. Watengenezaji pucha wanatengeneza hizo picha kwa kuzingatia tu maelezo yaliyopo kwenye biblia, ni picha tu za kutengenezwa kwa lengo lililokusudiwa, lakini siyo uwakilishi wa sura na maumbile halisia. Hata msalaba tu aliosulibiwa Kristo Yesu, haukuwa na ufanano halisia. Wataalam wa maandiko ya kale wanasema msalaba huo ulikuwa ni wa miti na siyo mbao zilizorandwa, hata misumari ya wakati huo haikuwa kama hii tunayoitumia leo.
Mkuu tunazungumzia Sanamu ya Yesu wala siyo picha ya Yesu!! Unajua tofauti ya Sanamu na Picha?
 
acha uongo unakanusha hii iliyopo sio original kwasababu inakupinga au??....................yan waarabu wa misri wawe na torati original ichomwe moto ipotee yote afu wayahud na wakristo wasiwe nazo orginal?

unaikataa ii iliyopo kwa kusema nifake na unadaì kuna original na hujawah ioma wala kuisoma na wala hauna et unasema imechomwa moto

na aliyskwambia imwzcjomwa moto naez hajui vilivyoandikwa ndani....kobazi bhn
Mkuu andika vizuri tukuelewe basi? Unafikiri Misri ilikuwa ya Waarabu? Misri ni ya Waafrika, Waarabu ni Wahamiaji wa juzi kama ilivyo USA ni ya Red Indians, Wazungu wamehamia miaka ya karibuni. Pia Australia ni ya Waafrika.
 
aiseee mwisho wa mjadala.
 
Kama una hamu ya kujua historia ya ukristo, nenda kasome degree of Divinity kwenye vyuo vikuu vya Roma. Kwa kibali maalum utapata access ya maktaba kuu ya Ukristo, ambako utakutana na maandiko mengi ta kale, yaliyoandikwa kwa manyoya, na mengi yakiwa kwente mbao na mawe. Maktaba ile ambayo urefu wake ni kilometa 85. Lakini ili uweze kuelewa, ni vema ukasome kwanza Greek, Aramaic, Hebrew na Latin, maana maandiko ya kale apo kwenye lugha hizo.

The Vatican Library (Biblioteca Apostolica Vaticana) and Vatican Apostolic Archive (often confused but separate) hold vast collections: the Library has over 1.6 million printed books, 80,000 manuscripts, and 8,600 incunabula, while the Archive boasts over 85 kilometers (53 miles) of shelving for centuries of historical documents. The Archive's holdings are so extensive they're stored in underground vaults, including the "Bunker," housing documents spanning twelve centuries.
The Vatican Library houses some of the world's oldest manuscripts, including the Codex Vaticanus (4th century), the oldest nearly complete Greek Bible, and earlier papyri like Hanna Papyrus 1 (P75) from the early 3rd century, containing parts of the Gospels. Other treasures include 4th-century Virgil manuscripts, like the illustrated Vergilius Vaticanus, and even first-century documents, making its collection exceptionally ancient.
 
Back
Top Bottom