Yaani umenikumbusha zamaniii. ..... basi tuu siku nikienda kutembea nyumbani ...... nawataarifu mapemaa waniwekee madikodiko ya kinyamwezi nikitoka huko nimenonaaa hehehe.
Asali nilikua napiga na ugali ingawa siku hizi imenikataa....nikilamba asali inakua majanga tumbo linakataMadikodiko ya kinyamwezi.... basi watu huwa hawaelewi.... hapo hujalambishwa asali....
Asali nilikua napiga na ugali ingawa siku hizi imenikataa....nikilamba asali inakua majanga tumbo linakata
Natumia asali original kutoka Kigoma na TaboraOoh polee
Yawezekana uliramba asali feki... au ulipata ile yenye nicotine na siajabu hiyo ndo una allege nayo.
Jaribu ile ya nyuki wadogo.... aidha ya chuo cha SUA ni asali asili kabisa isiyo na sumu.
Try that.
Burazaa KYebhagaeeeeee! Ubhumegere.
Mtamu balaa
chovaNenda makete, iringa upo kibao shindwa mwenyewe
nikweli mtamu sana zaid ya kukuKipindi nafanya kazi bukoba nyuma ya Nyumba niliyokuwa naishi vilikua vinaona vingi kweli.... Walikua wanavigombania sana eti ni vitamu kweli mi nawashangaa..... Hata uyoga ule mkubwa mimi sipendi eti wengine wanafananisha na nyama duh!!
Cc Smart911