Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking officer.
Jamani mnapata wapi huwo ujasiri ni kufumba macho na kutembea barabara ya mwendo kasi au mnajifanya hamjui mchakato.
Basi nawakumbusha tu kama ingekuwa Urais unasemewa kwenye majukwaa na kila sehemu na mtu akawa Rais basi Mh Malecela, Lowassa nk wangekuwa wameshakuwa Marais. Ila Haya ndie ajaye.