Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

Mkuu nimejiuliza hilo swali jibu lake naogopa kuliweka hapa.

Ila lina misingi ya elimu yetu kitaifa. Tumeamua kudhalilisha elimu zetu.
 
Kumbe wewe mwanasheria uchwara ikumbukwe Professor kaajiriwa na serikali kwanza na sasa pia anaenda kuitumikia serikali kosa lipo wapi?kwani lazima abaki darasani tu,unajua alikotoka Professor kwanza ,au ulisahau kwamba ni mwanasiasa pamoja na kuwa mwana taaluma,shida mnataka kupinga kila kitu kwa manufaa yenu ,akiteuliwa upande wa pili anakuwa shujaa mara jembe ,akiteuliwa na serikali mnakuja na ngonjera zenu oh mara msaliti ,kamu saliti nani?
 

BABAKOOO ANGECHAGULIWAA UNGEMWAMBIA AKATAEE AUKIJIBUHILI NAHAMA JF
b
 

Feki huyuu nilijuaaa angemshaurii akafundishee Kwanzaa priv univ. We Yukon serikalini.. Bado unalalamika lohkunywaa empire
 
Kwa hiyo tunaua elimu yetu kidogo kidogo.Vyuoni wataenda kufundisha akina nani kama maprofessor wanapenda kuwa wanasiasa.Tanzania ya Vi-Wonder
 
Embu tujikumbushe enzii za jf/ma gre8thinker OG..
 
Njaa inameza wasomi wa Tanzania katika njia ya kudhalilisha mno !
 
Mkuu uliona mbali!!
 

Frankly speaing sijakuelewa...Kwani Profesa Kabudi amefanya kosa gani??? Profesa Kabudi ni msomi tena msomi kweli kweli...Sasa kuwa na msimamo wake ndiye aonekane kuwa amelogwa????
 
 
Anaondoka njaa anaingia njaa Kali,Mwakuembe ooooout
Sio kwamba wameona Mwakyembe akimpeleka Lowasa mahakama ya mafisadi itaonekana ni chuki binafsi kwa sababu tume yake ndiyo iliyo muondoa Lowasa kwenye uwaziri mkuu ? Sasa wanataka mtu mwingine kabisa kwenye nafasi ya Mwakyembe ya sasa ili asimuonee haya Lowasa

Nimejaribu tu kuwaza aina maana nipo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…