Hii ndo ilikuwa njia panda yake...pale ndo nami nilipigwa na butwaa kuwa huyu gwiji wa constitutional law kawaje? lazima kageuzwa bidhaa, tena a cheap very well read bidhaa. ni aibu sana kwake na yote aliyoyasimamia tangu awali. you have to live and stick to your principles...sio kugeuka jiwe tena ghafla bin vuu tena wakati ule ambao mchango wako unategemea zaidi na jamii yako. Aibu kwako sana palamagamba kabudi tena sana!
nawakumbusha kitu kimoja, kabla ya kuwa VC, Prof Mkandara alikuwa akifanya kazi Ikulu kama mshauri wa maswala ya siasa wa JK, na hii ilikuwa baada ya RDET inayoongozwa hadi leo na Prof Mkandara (MSIBISHE) kusaidia ushindi wa JK mwaka 2005. Alipopewa hisani ya kuwa VC na watu wenye akili zao kama Prof Mshana kuonekana hawana akili, Mkandara aliwaweka rafiki zake na wahaya wenzie katika system na mmoja wapo ni Prof Kabudi aliyempa ukuu wa shule ya sheria. na wote waliopewa nafasi na Prof Mkandara walikuwa automatically wateule wa JK na wanaokula matunda ya JK na kupata dili nyingi za serikali moja kwa moja. ndio maana Kabudi ametumiwa katika issue ya mgombea binafsi kwa manufaa ya CCM na kisha katika issue hii ya katiba mpya kwa manufaa yaleyale ya CCM na serikali. yapo mengi sana mfano Dr Ndumbaro ambaye alikuwa msaidizi wa Mkandara pale REDET sasa yeye ndo kapelekwa IKULU kula bata kwa kuwa mshauri wa JK siasa nafasi aliokuwa nayo mkandara kabla ya kuwa VC. kwa ufupi system, na fedha zimemroga Kabudi. sio yule kabudi wa zamni sasa. It's their turn to EAT, Mkandara, Kabudi, et al.
alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa family law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na guru mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.
Naikumbuka sauti yake kali na maelezo yake yasiyobabisha nakumbuka pia wanafunzi wengi waliopendelea kukaa viti vya mbele walilalamika kuwa palmagamba alikuwa ananyesha sana, yaani akiongea anatoa mate huku na huku hilo sikulishuhudia kwani nilikuwa napendelea kukaa nyuma kama ilivyo mila yetu kuwa kijana wa kichaga unakaa nyuma ya familia ili kuilinda na kuhakikisha familia inakuwa salama sio uhuni kukaa backbencha.siamini mtu mahiri ambaye mara zote darasani aliiponda serikali na kuwaponda watendaji wake
mwalimu ambaye hakuna hata siku moja laiyowahi kusema zuri juu ya serikali na katiba yake,kila siku akijadili katiba alionyesha mapungufu makubwa juu ya katiba iweje leo ausifie mswada mbovu lazima amelogwa na huku ni kulogwa kwa kununuliwa na shilingi.
Alipoingia kwenye siasa za kinafki na kuanza kuchambua hoja ya mgombea binafsi kinafki bila kusema ukweli kwa wananchi niligundua kuwa mwalimu wangu sasa ana njaa ,na ameamua kutafuta umaarufu mwingine zaidi ya ule uliotukuka aliokuwa nao.nilifikiri labda anajiandaa kugombea ubunge sehemu fulani au ameahidiwa uanasheria mkuu.
Wiki iliyopita nilishangaa sana kumuona mwalimu huyu wa family law akiungana na adui yake mkubwa jaji wa zamani wa mahakama kuu kitengo cha biashara kwa kuteatea mswada mbovu wa katiba unaopelekwa bungeni kwa nguvu ya mafisadi na serikali isiyosikiliza maoni na matakwa ya watu waliowapeleka madarakani,""hii si sawa na ni lazima itambulike kuwa wanasiasa nyie ni watanzania pia na huu mswada unawahusu zaidi nyie"" haya ni baadhi ya manene yaliyomtoka guru wa sheria za kifamilia,na kunifanyua nijiulize ni nani aliyemloga guru huyu??
Naomba kumshauri mwalimu wangu kuwa kwa sasa amebaki peke yake mtaalamu na msomi anayeitetea ccm,aangalie sana isije ikawa mwaisho wa wema wake unafikia kuwa mwanzo wa ubaya wake.mabadiliko tunayoyataka ni lazima yaje,kwa nguvu au kwa hiari mkapa alisema haki haiombwi inadaiwa na ikishindikana inapiganiwa,tutaidai haki yetu hata kwa kuipigania.
basi mlipo ondoka huku nyuma guru huyo alichaguliwa na kasisi wa ccm kuwa mkuu wa shule ya law, basi sahau vile naye amekuwa mchumia tumbo,ndiyo hivyo je atamaliza nyumba yake vipi.nawakilisha
Tawala zote duniani hata zilizo mbovu kiasi gani zina watetezi wake. Prof. Kabudi ni mmoja watetezi wa aina hiyo. Uzuri ni kuwa historia ina tabia ya kuwahukumu vibaya sana wakati mwingine kwa kuwasahau kabisa.
nawakumbusha kitu kimoja, kabla ya kuwa VC, Prof Mkandara alikuwa akifanya kazi Ikulu kama mshauri wa maswala ya siasa wa JK, na hii ilikuwa baada ya RDET inayoongozwa hadi leo na Prof Mkandara (MSIBISHE) kusaidia ushindi wa JK mwaka 2005. Alipopewa hisani ya kuwa VC na watu wenye akili zao kama Prof Mshana kuonekana hawana akili, Mkandara aliwaweka rafiki zake na wahaya wenzie katika system na mmoja wapo ni Prof Kabudi aliyempa ukuu wa shule ya sheria. na wote waliopewa nafasi. SUBIRINI WAKATI TU,WAKATI UPO UNAKUJA NA MTAJUA MENGI. ITAKAPORIPUKA ISSUE YA DOWANS,NDIPO MTAKAPOJUA KUWA HUYU NI MMOJA WA WAFAIDIKAJI WA KULIIBIA TAIFA HILI. NI MMOJAWAPO WA WAFAIDIKAJI WA DOWANS,TENA KWA BARAKA ZA SERIKALI KUPITIA TANESCO. WAKATI UPO NA UKO KARIBU....tusubirie!!
Wacha ubaguzi wako wewe....kwani nani alikwambia wote wanaoishi Ngara ni wakimbizi? watch out your words. Ndo ubaguzi na siasa za kishenzi kama hizi tunazipiga vita zisiwe na nfasi ndani ya TANZANIA yetu huru tunayotaka kuijenga kwa katiba mpya.
Keep calm, carry on:embarassed2:
Prof. Palamagamba kabudi
![]()
Hii ndo SOurce ya NENO GAMBA
Dawa yake ni hii; akiwapa mtihani andikeni majibu ya uongo ili mfeli wote.akiwaita kwa supu ndiyo mfanye vizuri, sifa yake itakuwa imebomoka[/QUOT
sasa wewe ndo umechangia nini? si ungelike tu kama unahamu saana ya kujihusiksha na hii thread...............!!!!!!!!!!!