Nani ameisaida Tanzania kati ya hawa?

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
43,626
2,000
je.jpg

hawa wote wamekuwa Viongozi wa juu kabisa wa Tanzania kwa nYakati tofauti. Je kati ya J.M.Kikwete na J.K.Nyerere nani kaisaidia Tanzania
 

sabasita

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
1,509
1,500
labda ungeweka pic ya mwigulu ,lusinde na nape hao jamaa ndio viongozi bora kabisa kutokea nchi hiiiii:becky:
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,156
2,000
Hili taifa tumelisaidia sisi wananchi, na hao viongozi tumewasaidia sisi kwa kushibisha matumbo!
 

Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,169
2,000
Wewe na mimi.Kwa kuwa wewe umeandika uzi huu nami nakujibu kama hivi nilivyokwisha jibu.
 

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,520
1,225
Nikisema ambayo yapo kichwani mwangu nitapigwa ban,ngoja niache tu maneno yangu yapite salama.
 

JoyPeace

Member
Oct 18, 2012
66
0
ni busara kukaa kimya

RIP Mwalimu! kwani ulitengeneza njia! kuweza kuongoza harakati za kudai uhuru tayari alikuwa anatafuta njia, pale alipotuacha tulipaswa kuwa mbali! Lakini huyo nyang'au anapoteza njia kabisa!! yaani siamini kama alikaa kiti kimoja na Mwl. hata huruma na nchi hii hana! nchi hii sasa iko tu kama inaongozwa na mizimu! haina direction! Mungu atusaidie na tunene mema kwa ajili ya nchi yetu! lakini naamini iko siku nchi itakaa katika mstari tu esp thru M4C and finally CHADEMA wakichukua nchi............. kwani CCM(watu na sys zake) ni uozo mtupu!!!
 

omben

JF-Expert Member
May 30, 2012
801
500
Huyu wa sasa aliulizwa. Watanzania watakukumbuka kwa lipi ulilo wafanyia? Alijibu watanikumbuka kwa kuwatoa hapa na kuwa peleka pale. Haya ndiyo majibu ya kiongozi wetu wa sasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom