Kwenye hii topic sie wa upande ule tukishasomaga Surat Ikhlas (Khul Huw Allah Ahad) hua inatosha sana aisee.In Greek mythology there are many gods. They are born but immortal. Which God are you talking here. A Muslim God (Allah) or Christian God (Jesus)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni jina tu Joanah. Inategema na mahali fulani tu wameamua kumpa jina gani.Unajua why you,
Yani ulivyoandika ni wewe mtupu,maelezo uliyotoa nimeyaconvert to sauti yako....heheheheehhh
Sijui watakuwa wanatumia jina gani ambalo ni tofauti na jina Mungu?🤔
Theory zote kuhusu Mwanzo wa Dunia zinamapungufu....sielewi za Dino wala bingbang...hakuna aliyenyoosha maelezo naweza shake credibility ya yeyote hapo.Wafuasi wa Big Bang wote ni wagonjwa wa akili, ile ni dhana tu ambayo inataka ithibati.
Unabwabwaja sana....nikisema kitu hakipo ushahidi wangu ni kutokuwepo kwake...yaani tunasema the absence of evidence is the evidence of absence.Wewe mbona huweki ushahidi wa madai unayo dai, zaidi ya kukimbia. Sisi ushahidi tunao,ila itifaki lazima zizingatiwe,maana kama kusema tu kila mtu anaweza kusema,lakini ushahidi ndio unawafunga midomo wasemaji hovyo kama wewe.
Naona umekosea njia mzee. Kuna muda kusoma huwa bora zaidi kuliko kuandika.Muulize Mungu mwenyewe.
Wewe kidogo una akili..eti kuuliza ni ujinga?Mtu anahoji iweje aitwe mjinga kwa kuhoji?? Kama asipohoji na anaamini kwamba Mungu kaumbwa aitwe nani??!!
Kuuliza kwake kunamfanya awe mjinga?? muongo, maamuma nk??
Nakwambia mlete hapa huyo ulipokopi hiyo post, hiyo ndiyo shida ya Copy-paste hovyo.
Kill your self so that u either go to heaven or Hell to prove your argument.The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Nacheka sana huu ni uoga. Ukisema kitu fulani hakipo, unatakiwa uthibitishe kutokuwepo kwake, sio unasema tu. Ukitaka hali iwe unavyotaka,tunakuwa tunatumia akili vibaya. Sasa hapa utaona mimi na wewe nani anabwabwaja tu na kukimbia kujibu hoja.Unabwabwaja sana....nikisema kitu hakipo ushahidi wangu ni kutokuwepo kwake...yaani tunasema the absence of evidence is the evidence of absence.
Ukweli hauko hivyo mpaka athibitishe hili,wapo watu ambao hawatafuti ila kwa uvivu wao na kuokoa muda husema uongo, kwahiyo ithibati lazima iwepo.Mtu akija nyumbani kwako akasema hakuna maji basi ujue yeye amayetafuta akakosa hivyo akasema hakuna maji. Ukibisha usimuulizie ushahidi wa kutokuwepo maji(utakuwa ujinga) kama unampinga muoneshe maji case closed
Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali nililo kuuliza na kwanini umekuwa muoga kiasi hiki. Umejuaje kama ushahidi haupo ? Thibitisha hilo, usilete "risala kwa ajili ya mgeni rasmi", kuomba huruma ishike hatamu.Sasa kama wewe unasema kipo weka ushahidi ila ukija na taarabu zako mimi huo muda sina...usipokuja na ushahidi ila ukaja na taarabu tena sitareply
Naona hamjaelewa mada.Kill your self so that u either go to heaven or Hell to prove your argument.
Nshakuzoea wewe toka unajiita mzuri kwahyo sipati shida.Nacheka sana huu ni uoga. Ukisema kitu fulani hakipo, unatakiwa uthibitishe kutokuwepo kwake, sio unasema tu. Ukitaka hali iwe unavyotaka,tunakuwa tunatumia akili vibaya. Sasa hapa utaona mimi na wewe nani anabwabwaja tu na kukimbia kujibu hoja.
Hii kauli uliyo itoa nayo inahitaji maelezo na ithibati. Tuambie umejuaje kama hakuna ushahidi.
Ukweli hauko hivyo mpaka athibitishe hili,wapo watu ambao hawatafuti ila kwa uvivu wao na kuokoa muda husema uongo, kwahiyo ithibati lazima iwepo.
Pili, kutokuyaona yeye maji hakumaanishi kwamba kweli maji hamna, ukizingatia yeye ni wakuja tu hapo kwangu. Ndio maana werevu huwa wanauliza kwanza, na naona unatatizo la kutoa mifani timilifu.
Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali nililo kuuliza na kwanini umekuwa muoga kiasi hiki. Umejuaje kama ushahidi haupo ? Thibitisha hilo, usilete "risala kwa ajili ya mgeni rasmi", kuomba huruma ishike hatamu.
Huwa kazi yangu naimaliza hivi, hatuwezi kuendelea hoja bila kujibu swali nililo kuuliza, huu utoto nishaukomesha.
Sisi hatuachi hata nukta, tunahoji, ndio tunaendelea. Utanikuta nipo hapa hapa.
Imani bila ushahidi ni UPUMBAVUHuyo ndo MUNGU bwana.
Hana mwanzo wala mwisho..
Yupo alikuwepo na atakuwepo sana na atabaki milele.
AMINI HIVYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unatuliza akili na kuelewa nini kinacho ongelewa au nani amesema nini ? Sasa nikikuuliza wapi kusemwa kuuliza ni UJINGA ? sijui utanijibu nini ?Wewe kidogo una akili..eti kuuliza ni ujinga?
Hujajibu hoja kijana, leta ushahidi.Nshakuzoea wewe toka unajiita mzuri kwahyo sipati shida.
Nimejua hakuwepo kwasababu hakuna ushahidi sasa kama unaniomba tena ushahidi hii mbinu imefeli na kama huna okoa muda wangu na wako hata usiniquote
Ndiyo maana nakwambia masuala ya Mungu yupo ama hayupo ni IMANI na imani haionelani kwa macho...sasa ukitaka kuhakikisha kwamba kweli yupo ama lah ni suala la kujiua ili ukahakikishe mwenyewe kwa macho yako...hakuna njia nyingine !!Naona hamjaelewa mada.