Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,331
- 10,751
Ukitaka kuiponda Dini na uielewe... Mtume weTU mpendWA Muhammad..kuna kosa gani katika hiyo statement yangu?
Ukija na scholarly unbiased opinion about the quran, je sio kitabu? je allah na mitume sio wahusika kwenye hiko kitabu?
sasa undezi wangu upo wapi?
au mmeaminishwa matusi kwa kila asie upande wenu?
bonus question; Kwanini unakiamini hiko kitabu?
Rehma na Amani I we
e juu yake. .hakukitunga hichi kitabu Cha Quran... Bali Ni kitabu kimeshushwa KUTOKA kwa Mungu mwenyezi...
Sasa Wewe unadhani kwa Akili yako uliopewa unaweza elewa KILA kitu...Na kuchambua KILA kitu..
.Kuna Mambo wana sayansi wenyewe hawajaweza kuyapatia ufumbuzi....
Kwahiyo.tumejuja duniani.kuzaliana na kufa...Hilo ndo.lengo la kuumbwa kwako.