Nani aliyemuumba Mungu?

Chanzo cha vyote ni Muumba =Mungu, ila chanzo cha Muumba hatujui . Uliza wataalamu wa 'big Bang theory "
 
Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia
Thibitisha hili. Na utuambie kwa mujibu wa mtume Muhammad alimzungumizia vipi Allah.

Mungu ninae mzungumzia hapa, huyo alieelezwa katika mada hii. Soma tena uelewa kisha ujenge hoja.
 
Angalizo kidogo juu ya hii mada, naona watu wanauliza maswali ya kitoto maswali ambayo yamejibiwa katika hii mada huko juu, hii inaonyesha ni kwa namna gani watu hawako makini na wana hoji mambo "kimhemko". Sasa ongezeni umakini ili msipoteze muda kuuliza maswali ambayo majibu yake yapo humu tayari, nawakusudia hasa hawa wadau wanao jiita Citizen B na Scars .

Ahsanteni.
 
Nataka majibu yako binafsi usinipe nukuu kutoka kwenye sites za atheism
Hayo ndio majibu yangu na huo ndio msimamo wangu, sasa unapotaka majibu yangu wakati majibu yapo huko juu ni kupoteza muda.

Tuendelee.
 
Kwa sababu ni kitu cha kufikirika tu hakipo kwenye uhalisia, hivyo kitu cha kufikirika hakina ushahidi.
Safi kabisa, umejuaje kama ni kitu cha kufikirika ?
 
Muumbaji ni mmoja tu MWENYEZIMUNGU
 
Chanzo cha vyote ni Muumba =Mungu, ila chanzo cha Muumba hatujui . Uliza wataalamu wa 'big Bang theory "

Wafuasi wa Big Bang wote ni wagonjwa wa akili, ile ni dhana tu ambayo inataka ithibati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…