Bhasi wewe unaejua Historia ya Science endelea kuongea...!![emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mnatumia Nguvu sana kuaminisha watu Mungu hayupo kisa nyie hamuamini kitu ambacho sio sawaa. Kama wewe huamini tulia acha wanaoamini waendelee na imani zao usijidai mjuaji kuquestion imani za wengine akati hiyo science unayoishikilia huji chochote hata historia yake huijuiii.Ungekuwa unajua hata historia ya kanisa au hayo unayoyaita maandiko usingekuwa unaongea hivyo.
Hivi nani anatumia nguvu nyingi kumuaminisha mwenzake.. hata aliyeanzisha maada ni mwenzenu.Bhasi wewe unaejua Historia ya Science endelea kuongea...!![emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mnatumia Nguvu sana kuaminisha watu Mungu hayupo kisa nyie hamuamini kitu ambacho sio sawaa. Kama wewe huamini tulia acha wanaoamini waendelee na imani zao usijidai mjuaji kuquestion imani za wengine akati hiyo science unayoishikilia huji chochote hata historia yake huijuiii.
Warumi 11
33 Jinsi utajiri wa Mungu ulivyo mkuu! Hekima yake na maarifa yake hayana mwisho. Njia zake na maamuzi yake hayachunguziki!
34 Kwa maana ni nani amepata kufahamu mawazo ya Mungu au kuwa mshauri wake?
35 Au ni nani amewahi kumpa cho chote ili arudishiwe?
36 Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni wa wote yani Sio muislam wala mkristo. Hao wenye miungu yao wengine achana nao..!! Sasa hakuna anaetumia nguvu hapa kumuaminisha mtu Mungu yupo ingekuwa tunaongea kuhusu Yesu au Muhammad hapo sawa hapa hakuna dini tunaongea juu ya uwepo wa Mungu.Hivi nani anatumia nguvu nyingi kumuaminisha mwenzake.. hata aliyeanzisha maada ni mwenzenu.
Angalia wamisionari nguvu waliotumia kusambaza dini..angalia kila siku wahubiri wabavyohangaika kushawishi watu mungu yupo..
Halafu fanya conclusion nani anatumia nguvu nyingi?? Msingekuwa mnawahubiria watu uongo asingekuwepo wa kuwapinga. Tatizo imani yenu mnataka iwe common kwa watu wote hapo shinda ndio inakuja.
Hivi nani aliwahi kuomba akajibiwa😂😂?Mungu ni wa wote yani Sio muislam wala mkristo. Hao wenye miungu yao wengine achana nao..!! Sasa hakuna anaetumia nguvu hapa kumuaminisha mtu Mungu yupo ingekuwa tunaongea kuhusu Yesu au Muhammad hapo sawa hapa hakuna dini tunaongea juu ya uwepo wa Mungu.
Wamissionary walikuja kusambaza dini ya kikristo na waarabu dini ya kiislamu wangekuja wachina mapema bhasi hata mabudha wangekuwepo wa kutosha Bongo Wale walileta dini na mafunzo kuhusu dini lakini watu Walimjua Mungu kabla hata ya dini kuja kabla hata ya Quran na Biblia kuwepo ndugu. Babu zetu waliomba miungu na wapo walioomba kwa Mungu na wote walijibiwa na hakuna aliekuwa akimkosoa mwenzake wala kumpinga.
Lakini leo mmeibuka wajuaji na vijana mnaojidai science imewakolea mnapata na nguvu ya kumuamini mzungu ana nguvu ya kuishinda corona huku mkisema eti Mungu mbona ameshindwa???? Yani ni upuuzi mkubwa sana hata wazungu wanawashangaaa..
Hivi nani aliwahi kuomba akajibiwa[emoji23][emoji23]?
Mbona mnajitia kutokuwa na akili wakati akili mnayo? Halafu hao miungu wako wangapi ? Maana kuna wa mababu zetu , kuna wa waislamu na wakritu mara wa wachina.
Hao wengine wana miungu yao so hainihusuu...!! Mimi nimeomba mara nyingi na nikajibiwaa.. Wewe ndo kujitoa akili kuona kuwa maombi kujibiwa yanakuja kama sahani ya maandazi. Unajitoa ufahamu as if huelewi ila unaelewa sanaa... Komaa na science unayojidai kuijua kumbe zero kabisa yani hata shule yenywe inaonekana ulikimbiaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu eti oohoo nipe prove kuonesha Mungu yupo????
Wewe mwenyewe unaonekana ni 0 brain kabisa .. huwezi hata kureason na akili yako. Eti umeomba ukapewa. Omba uwe tajiri kama Mo then upewe[emoji23][emoji23].. kuomba my foot..
Story za wazee wa Israel unataka ziapply kwenye maisha yako ya bongo.. kwa mentality hio ya kuomba na kujibiwa utakufa ulivyo.
Sasa wewe unataka wote tuwe matajiri kama MO ndo uamini Mungu yupo na aanjibu maombi yetu????? Hivi unatumia mafiii kufikirii au???? Mbona sijawahi ona mtu mwenye utahiraa wa level hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umaskini ndo tatizo lako pia elimu huna mdogo wangu yani unaamua kuanza kumlaumu Mungu sababu ya ujinga wako na umaskini wako.
Siwezi kulaumu mtu/kitu ambacho hakipo.. sasa wewe endelea na utaahira wako uendelee kuomba .. tena watu msio na shule kichwani ndio kazi zenu kutukana wenzenu kwamba hawajasoma.. sasa mzee wewe una shule gani ya kuanza kuongea hadharani?? Unavyoandika tu unaonekana knowledge yenyewe kuhusu huyo mungu huna..
Mzee mimi sijawahi kuomba wala kulaumu kitu kisichopo.. napambana na maisha yangu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shule yangu ni ukoo wenu mzimaa kijana.. Eehe Mungu wetu muache ni mkuu sana kuanza kuwa doubted na watu kama wewe.. Go get life man..hustle hard stop blaming God bcoz of ur miserable life..imeishaa hiyooo
Safi kabisa, twende taratibu. Nimekuzindua kwanza, pili tupe uthibitisho wa kutokuwepo kwake, sio ubasema tu kwamba hayupo halafu huweki ushahidi na hutuambii umejuaje kama hayupo ?Hehe hivi umelewa?
Sihitaji unionyeshe mungu yuko wapi, nahitaji uthibitisho kua yupo, uthibitisho unaweza kua njia yoyote ila sio lazima macho. Hivi vilaza mna matatizo gani? Hamjui kuna sense zaidi ya macho? Em acheni kunipotezea muda
Haya ndio yale yale ya kila siku kukimbia wajibu wenu, kama unaona hupaswi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola pia hupaswi kudai ya kuwa Mola hayupo sababu hilo ni dai ambalo unatakiwa ulithibitishe.Mimi sitakiwi kuprove kutokuwepo kwa mungu wewe unayesema yupo ndiyo unatakiwa kuprove, vilaza mnafikiria kinyume, nikikwambia nywele zako zina waka moto huku we huoni zinawaka moto nani atatakiwa kutoa proof kua zinawaka moto? Mi ndo nitakuuliza uprove kua haziwaki? Kilaza kabisa
Hivi unajuaje au unakijuaje kitu ambacho hakipo ?Mzee mimi sijawahi kuomba wala kulaumu kitu kisichopo.. napambana na maisha yangu..
Kuhusu shule unaonekala form six leaver PCB au graduate wa sociology 😂😂 Ambayo unashindwa na mdogo wangu wa 4.
Hutakiwi kuprove kivp na wakati unatoa madai kuwa kitu fulani hakipo? Kwa sababu kama unauhakika kabisa kuwa kitu fulani hakipo maana yake una ushahidi na hivyo unaweza kuthibitisha kuwa usemacho ni kweli.Mimi sitakiwi kuprove kutokuwepo kwa mungu wewe unayesema yupo ndiyo unatakiwa kuprove, vilaza mnafikiria kinyume, nikikwambia nywele zako zina waka moto huku we huoni zinawaka moto nani atatakiwa kutoa proof kua zinawaka moto? Mi ndo nitakuuliza uprove kua haziwaki? Kilaza kabisa
Hili ndio huwa kichaka chao kwamba wao hawapaswi kuthibitisha, angali hayo wanayo yaandika ni madai tu. Huwa wanachekesha sana.Hutakiwi kuprove kivp na wakati unatoa madai kuwa kitu fulani hakipo? Kwa sababu kama unauhakika kabisa kuwa kitu fulani hakipo maana yake una ushahidi na hivyo unaweza kuthibitisha kuwa usemacho ni kweli.
Hata mwenzenu Kiranga humu kakiri kuwa huwezi kusema kitu fulani kipo au hakipo tu pasina uthibitisho, sasa wewe bado unatuambia et hutakiwi kuthibitisha sasa tutahakiki vp msemacho kuwa ndio kweli kwamba Mungu hakuna?
Bahati mbaya wafia dini huwa hamuwezi kujenga hoja, mmkiulizwa mnaishia kupaniki badala ya kujenga hoja.Unawaza kitoto sana, soma nilichomalizia katika hii mada, shida yako unapenda kupoteza muda ilimradi tu uandike mwisho wa siku unapoteza umakino kama hivi.
Tuendelee na mjadala.Bahati mbaya wafia dini huwa hamuwezi kujenga hoja, mmkiulizwa mnaishia kupaniki badala ya kujenga hoja.
Naomba niweke mjadala na ww mleta mada
Kama Ni yule Mungu aliejadiliwa kwenye Biblia yule sio MUNGU, yule Ni muungu.Yule ambaye ni wa mwanzo asie na mwanzo kabla yake na wa mwisho asie na cha mwisho baada yake, yule ambae ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo, yule ambaye anajua yaliyopo, yaliyopita, yajayo na yale ambayo hayapo na laiti kama yangeukwepo anajua yangekuwaje. Huyu ni Allah aliye juu.
Ahsante
Kuhusua suala la Biblia hilo nawaachia wahusika wa Biblia, mimi sio kitabu changu cha muongozo.Kama Ni yule Mungu aliejadiliwa kwenye Biblia yule sio MUNGU, yule Ni muungu.
Amerudi kwake wapi na hilo tukio lilitokea wapi ?Haiwezekani shetani awarubuni Adam na Hawa pale bustanini kipindi ambacho mungu alikuwa amerudi kwake. huyo mungu sio OMNIPRESENT???
Mola ninae mjua ni mmiliki wa ulimwengu na vyote vilivyomo. Hakuna chochote ambacho kipo nje ya milki yake.Alikuwa alienda kwake pale bustanini panabaki empty bila mungu???
Hii sio imani yangu, hii ni imani ya Wakristo, imani yangu inaniambia ya kuwa Mola muumba yupo juu ya mbingu ya saba, yaani juu ya mbingu ya saba kuna maji kisha juu ya maji kuna Arshi (Hiki ndio kiumbe kikubwa kuliko vyote alivyoviumba Mola wetu mlezi), kisha kuna kiti cha enzi na hapo ndio amestawi. Ila Molacwetu yuko pamoja na sisi kwa Elimu yake, yaani hakifichikani chochote kwake.Kama Yuko kila mahali (OMNIPRESENT) maanake alikuwa anashuhudia kila kitu kilichokuwa kinaendelea akanyuti???
Hili waulize wenye imani kwalo.Halafu aliporudi akaanza kuwatafuta hadi aawa anaita ADAAAAMMMUU UKOO WAPIIIII???
Mungu huyu mimi simjui.Mungu gani ambae mwanadam anaweza kujificha machoni pake hadi aanze kumtafuta???