Nani aliyemuumba Mungu?

Maelezo yako yanaonyesha wazi ya kuwa :
1. Humjui Mungu unae kataa kuwa yupo
2. Huwezi kuthibitisha hilo ya kuwa Mola hayupo

Sasa nina swali la msingi umejuaje kama Mola hayupo na unawezaje kumjadili usie mjua ? Huu ujasiri unaupata wapi ?
 
Mapungufu ya vitabu vya Dini ni uhai au usahihi au uhalisia wa NENO kutoka kwa mtamkaji kwenda kwa msikilizaji na hatimae muelezeaji-Communication break down.
Miaka elfu mbili ya NENO ni mingi sana.
Neno au Thought ni kitu kilichoumbwa na Chenye Nguvu-Kinaishi.Kitaishi milele ikiwa mwenye kuumba hilo neno anayo nguvu iliyoenea na hilo NENO liwe linajitegemea.Lina simama.

Kuhusu kuhoji Neno au dini wala haijakatazwa kuhoji tena ni muhimu kwa maendeleo ya binadamu.

Science ni Gods intelligence,kumjua Mungu ndani ya Science ni muhimu na inafaa.

Science inachambuliwa kila Siku Ndo maana hata Virus iliondolewa kwenye kundi la micro organism,hili lilitokea miaka ya 1998.
 
Weka ushahidi usicheze na maneno na kuzunguka mbuyu. Unajuaje kama Mola hayupo ? Thibitisha hilo usilete dibaji.

Hakuna contradiction hapo, hapo unatakiwa kuilaumu akili yako kuwa ndogo na kushindwa kung'amua jambo husika.
 
Ili mtu ajibiwe swali la namna hii inabidi kwanza kujua imani yake
 
Kama uthibitisho una definition ndani yake kwanini wewe unaniambia ni define mungu ni nini kisha unaniambia nithibitishe? Huoni kuwa hivyo ni vitu viwili vilivyotengana?

Ingekiwa uthibitisho una definition ndani yake basi usingetaka upewe definition na kisha uthibitisho badala yake ungedai uthibitisho maana definition ipo ndani yake.
Ndio maana nikasema kama kitu hukijui huwezi kudai uthibitisho kwanza.
 
Sio kila mwenye kusema Mungu yupo anaamini vitabu vya dini, hivyo hoja yako ni nyelesi sana.
 
Huu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
Shida ni kwamba watu hawamini kwa sababu kuna uthibitisho Bali kuamini kuna taratibu zake ambazo ndio humfanya mtu aamini, sasa wewe ukija kumwambia akupe uthibitisho we ndio unakuwa na tatizo na kuelewa imani.

Suala la Mungu ni la imani hivyo shida inaanzia hapo unapoanza kutaka mtu athibitishie Mungu wakati ni imani.
 
Nani aliwahi kuthibitisha anachokiamini? Unaongea vitu visivyo na uhalisia hebu mumwambie atheist mmoja hapo ajaribu kuthibitisha kitu kimoja anachokiamini.
 
Nakwambia hivyo kwa sababu wewe ni slowpoke.

A moronic slowpoke at that.

Define Mungu ni nini.

Thibitisha yupo.


Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Bora masuala ya kiimani hujulikana ni imani na husisitizwa hilo ila kwenye sayansi huwa jambo halielezwi kama kama maoni au mtazamo wa wakati huo Bali huchukuliwa ndio ukweli wenyewe kwamba limefanyiwa utafiti wa kisayansi ila ajabu baadaye unakuja utafiti mwengine na kuonesha ule ukweli wa kisayansi haukuwa kweli maana una makosa.
 


Mkuu Zurri, Mimi sina uadui na wewe na wala sitaki tuwe maadui, jambo lolote utakaloliweka hapa na liwe jema, naapa, nitakupongeza. Kinyume chake kamwe sitakupongeza bali kukuasa kistaarabu. Sisi sote ni wana jamii forum na tupo hapa kuelimishana na kukosoana kistaarabu, anayejua zaidi ni Mungu pekee. Basi tuwe wastaarabu ili tulinde heshima zetu.
 
Nakwambia hivyo kwa sababu wewe ni slowpoke.

Define Mungu ni nini.

Thibitisha yupo.


Sent from my typewriter using Tapatalk
Sawa mie ni slowpoke ila hoja yangu iko palepale kuwa huwezi kudai uthibitisho kwa kitu usichokijua, umewezaje kuona kuna uhitaji wa kutaka uthibitisho wa kitu kabla ya kukijua?
 
Sawa mie ni slowpoke ila hoja yangu iko palepale kuwa huwezi kudai uthibitisho kwa kitu usichokijua, umewezaje kuona kuna uhitaji wa kutaka uthibitisho wa kitu kabla ya kukijua?
Kitu kipi sikijui, na unajuaje sikijui?

Define Mungu ni nini.

Thibitisha yupo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kitu kipi sikijui, na unajuaje sikijui?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Sijakukusudia wewe binafsi nazungumzia kiujumla kuwa huwezi kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua.

Halafu sijajua kwanini unaniambie nithibitishe Mungu!
 
Sijakukusudia wewe binafsi nazungumzia kiujumla kuwa huwezi kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua.

Halafu sijajua kwanini unaniambie nithibitishe Mungu!
Wewe kwanza nyoosha Kiswahili chako.

Unapoongelea kiujumla, halafu unarudia tena kuandika "huwezi" kwangu mimi, unaonekana hujui kutumia mantiki na hujui lugha.

Na kama hujui mantiki na lugha, hatuwezi kuelewana.

Kama hunizungumzii mimi binafsi, unazungumzia kiujumla, unachotakiwa kuandika ni "Mtu hatakiwi kudai uthibitisho". Siyo "huwezi kudai uthibitisho".

Unaelewa tofauti?

Sasa nitajadiliana nawe vipi falsafa ya dini wakati hata Kiswahili na mantiki hujui?

Unaelewa tofauti ya kuuliza "May I help you?" na "Can I help you?".

Naona unanipaka shombo la mawazo tu kubishana nawe.

Inawezekana unatakiwa kuoga kiakili kwanza kabla ya kujadiliana nami.

Moron.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mzee kuhusu wachawi mimi siamini na hakuna mtu wa kuniroga mimi..
Kuhusu hewa ambayo kwa kingereza inaitwa air ambayo by definition ni mixture ya gases kama nitrogen , Oxygen na carbondioxide hatuwezi kuiona sababu ni colorless lakini kuna tests za kutest hizo gases na mtu una unakubali kabisa.. na personally nimetengeneza oxygen na nikaitest , nimeshuhudia carbondioxide nikaitest.. sasa unataka ushahidi gani kuhusu hewa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…