Nani aliyemuumba Mungu?

Kwani haukusoma hapa ... Au unajitia upepo riki boy

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna anasema kuprove sijui yeye mbona hataki prove zetu...??? Yani anaamini njia zilizoandikwa na wazungu kuprove hewa ipo ila haamini maandiko yaliyoandikwa kuprove Mungu yupo??? Wewe huoni kuna tatizo hapo
 
Kwani huyo jamaa bado hajaelimika tu ...maana umempa shule kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna anasema kuprove sijui yeye mbona hataki prove zetu...??? Yani anaamini njia zilizoandikwa na wazungu kuprove hewa ipo ila haamini maandiko yaliyoandikwa kuprove Mungi yupo??? Wewe huoni kuna tatizo hapo
Maandiko yaliyoandika kuhusu uwepo wa mungu hayawezi kuwa ithibati sahihi ya kuweza kuthibitisha uwepo wake ...kwa sababu yako very contradiction kiasi kwamba inamuhitaji msomaji kuwa nusu kichaa ili kuweza kuamini kilichomo ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilaa maandiko yanayoprove hewa ipo unaona yako straight kabisa na huwezi kuhoji yani?? Sijaelewa maandikp gani hayo yana Contradiction?? Me naongelea Biblia kama unaandika base on vitabu vingine me sipo huko
 
Poa
 
Ilaa maandiko yanayoprove hewa ipo unaona yako straight kabisa na huwezi kuhoji yani?? Sijaelewa maandikp gani hayo yana Contradiction?? Me naongelea Biblia kama unaandika base on vitabu vingine me sipo huko
Hata hiyo bible bado ina mapungufu mengi mbona ... Science inapokuja na tafiti za kuhusu jambo Fulani bado inatoa uwanja kwa watu wengine kulichunguza jambo hilo na kulitoa kasoro ..hii ni tofauti na masuala yenu ya kiimani "katika vitabu vyenu ukisoma maswala ya imani unapaswa kua mini tu bila fact ukianza kuhoji utaambiwa kuwa unalaana .huna akili umekengeuka etc .. Science haiko hivyo mkuu ndio maana kuna aliyegundua gari kisha akaja mwingine akagundua wipers na kuziweka katika gari hilo hilo .....

Halafu mbona huwa mnaiongelea science vibaya when it comes katika competition za dini na science wakati huo huo sisi wote dunia nzima tuna itumia science katika ili tuweze kuishi kuendana na mazingira ya kiulimwengu " hapo ulipo unatumia simu na kutype jf kitu ambacho kimesababishwa na science lakini hizo dini zenu zimeshindwa hata kuunda uma na kijiko still hamtaki kuipa science kipaumbele ....??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo gani?? Nachojua matatizo mengi yanasababishwa na imani
Mfano matatizo ya kiafya kwa maana wapo watu ambao wameumwa na kuzunguka sana mahospitalini na kushindwa kuonekana matatizo yanayowasumbua hivyo kushindwa kupata tiba na mwishoe huishia kuamua kwenda kwenye imani na hupata tiba, haya yapo sana kwenye jamii zetu na si story za kufikirika. Huo ni mfano mmoja tu ila yapo mengi matatizo ya kimaisha ambao tunaona watu wakienda kutatua matatizo yao kwenye kutumia imani.
 
Ilaa maandiko yanayoprove hewa ipo unaona yako straight kabisa na huwezi kuhoji yani?? Sijaelewa maandikp gani hayo yana Contradiction?? Me naongelea Biblia kama unaandika base on vitabu vingine me sipo huko
Hahaa sasa Maandiko ya mungu ambaye ana sifa ya ukamilifu yanaanzaje kuwa na contradiction then ukaona ni sawa ... Yaani Maandiko ya mungu yawe na contradiction kama jinsi yalivyo Maandiko ya binaadamu ...halafu unashindwa kuona kuwa kuna shida mahali .... !!?

Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Contradiction ipo kwako tu... Mbona maandiko yapo clear sana
 
Hapo mlipo mmekaa mnasubiri tafiti za kisayansi toka maabara mbali mbali duniani ziweze kugundua kinga ama Dawa ya corona wakati huo huo mungu kwa wenu yupo mashekhe na makasisi wachungaji wapo lakini wote Hawa pamoja na mungu wao mpaka sasa hakuna ambacho wamekifanya ili kuweza kuwakomboa watu kwa kuwaletea madawa ya corona

Lakini ajabu iliyo kweli hao mashekhe na wachugaji pamoja na nyinyi waumini wao mkisikia kuwa Dawa ya corona imepatikana mtajiunga pamoja na wana sayansi as if mungu wenu ndiye aliye waletea Dawa hiyo ....

Then still mnamuamini mungu huyo ambaye anashindwa hata kuwasaidia pindi mnapofikwa na mambo magumu yenye mfanano na corona ... Sasa mnakiabudu kitu kama hicho na kua mini uwepo wake ili iweje ' mnakitegemea kitu ambacho kina shindwa kujisaidia chenyewe ??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kama Mungu hayupo ? Usilete story za vijiweni.
Umesoma vitabu vya dini mpaka vikakuonyesha vimetungwa ? Kisha utupe mfano wa maandiko husika.
So at the end of the day mungu hayupo, hakuna aliyewahi kumuona, hakuna aliyeona muujiza wowote zaidi ya coincidences au kuchezewa mazingaombwe, wengine wana-hallucinate tu alafu wanakuja kusema ni mungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ dumb.

[/QUOTE]

Mbona una hitimisha bila kuweka uthibitisho kijana ? Kwahiyo sifa ya kitu kutokuwepo kikiwa hakionekani si ndio ? Una uhakika watu hawakuona muujiza wowote ?

Aisee unaandika upuuzi sijapata kuona hapo kabla.
 
Contradiction ipo kwako tu... Mbona maandiko yapo clear sana
Mungu muweza wa yote

Mwenye upendo kwa wote

Huyu mungu anaye hubiriwa hivi katika vitabu hajawahi kuexist .. Kwa sababu wote tunashuhudia kuwa anajinadi kwamba ana uwezo wa yote lakini ana shindwa kuijua hata future ya viumbe wake .... So hauoni kuwa hapo kuna contradiction ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proof ina sifa gani ? Yaani ili kitu kiwe proof kinahitaji kiwe na nini ?

Maana hata wewe hapa hujaweka proof hata moja na hata tukikuomba utupe proof ya kutokuwepo Mola huwezi kuweka. Hapa unasemaje ?

Ahsante.
 
Hao wanascience wenyewe unaowategemea ndio wanaoamini Mungu yupo mpaka wanakuletea na Biblia lakini ulivyo wa ajabu huamini Mungu yupo lakini corona isiyoonekana unaisujudu na kuamini wazungu wanayokuambia na kukuandikia mpaka kwa upeo wako mdogo unaona Mungu imemshinda coron[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila aisee waafrika ni laana kwa kweli.
 
Future ipi unayoiongelea???? Unataka Mungu akuletee chakula ndani kwako usife njaa??? Ndo ujue yupo.. Kwa akili zako Leo dangote akikufadhili kula na kulala na akakupa na gari ooho mbona utamsujuduuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…